Naomba kujua tabia za wasukuma

Naomba kujua tabia za wasukuma

Wasukuma ndilo kabila kubwa Tz wamechukua mikoa zaidi ya minne na wana tofautiana sana kitabia kutegemea na wanapotoka huwezi kuwalinganisha ni vema ungesema ni msukuma wa wapi ungesaidia japo kidogo! Ila kama mnyantunzu utakubali dharau(tuja) & ubinafsi. Japokua tabia huwa ni ya mtu binafsi sio mali ya jamii!
 
maswali yako mengi mno kikubwa ni kuwa kaamua mwenyewe kuwa nae mimi nauliza tu kufahamu huwezi jua ya Mungu mengi pengine namie ntajaaliwa huko! mimi wangu mjaluo

Uyo mjaluo kakuoa au kakuchumbia? kama kakuoa unataka kujaliwa nin tena?kama mchumba wako na unampenda kwann unaweza ukajaaliwa usukumani?
 
Ugali Akipika Uwe Mgumu Sana Kipimo Ukiubonyeza Kwa Kidole, Kidole Kisizame, Pili, Uhodari Wa Kuamka Saa Kumi Na Mbili Na Kuanza Kazi Za Kuchota Maji,kuosha Vyombo,kupika,na Kufua Nguo Za Mama Mkwe Au Watoto Wadogo Utakaowakuta Hapo Nyumbani, Tatu, Salam Huwa Inamata Sana Kwetu, Ni Lazima Usimame Na Ikibidi Uchuchumae Kidogo Kama Siyo Kupiga Magoti Ndipo Uitoe Salam Yako. Nne, Mavazi Yawe Marefu Na Usithubutu Kuvaa Suruali. Tano, Uwe Mkarimu Kwa Wageni Wote,wasalim Kwa Kuchuchuma Au Kupiga Magoti Wape Chakula, Ukitekeleza Hayo Watakupenda Siyo Ndg Tu,bali Majirani Wote Watakupenda Na Utajionea Mwenyewe Pindi Utakapokuwa Unaenda Watu Watakuwa Hawakauki Kwako Na Kila Mmoja Atataka Akupeleke Kwake,ndg Watakugombania Uende Kwao.Lakini Ukiwa Mchafu,mvivu,husalimii Watu Njiani, Huchangamkii Watu, Utarudi Siku Hy Hy,
 
Duh, wana haiba ya kufa mtu lakini waongo, matapeli kwa ujumla siyo waoaji, mimi mwanangu aliolewa usukumani cha moto alikiona, kapigishwa hadi matofali
Lakini wakarimu sana, ukiwa kwao ukiomba maji ya kunywa wanakupa buyu la maziwa

wewe una mtoto wa umri wa kuolewa au ni mtoto wa ndugu yako? nauliza hivyo kwa sababu comment yako ni misleading, mawazo ya kugeneralize hivyo ni ya kizamani sana na mtu mwenye akili zake huepuka kuhusianisha tabia kwa kujumuisha watu wa kabila fulani, ni mambo ya kizamani sawa na kusema wahaya malaya, watu wa kabila fulani sjui wana nini! UTAPELI HAUANGALII TABIA! Na nina mashaka huenda huyo ndugu yako ana matatizo.
 
Wasukuma wanajua kupenda ila nikwa wanaume lkn vicheche sana
 
Uyo mjaluo kakuoa au kakuchumbia? kama kakuoa unataka kujaliwa nin tena?kama mchumba wako na unampenda kwann unaweza ukajaaliwa usukumani?
mengine muachie baba na mama!! ukijua yote utasumbuka
 
awe mkarimu na mchamungu pia

Ooh yeah...
Na kwakweli asilimia kubwa ya wasukuma ni wakarimu jamani yaani kila sehemu/nyumba unayoenda unapokelewa na kuchangamkiwa vizuri as if wanakufahamu na hata kama huna ndugu kule utawapata tu kwa jinsi watakavyokufurahia!!
 
mkuu, mimi nadhani tabia ya mtu hujengwa na yale anayoyasikia na kuyaona pindi anavyokua.. sasa huenda akawa ni msukuma kwa kuwa baba yake ni msukuma, lakini amezaliwa Dar halafu amekulia UK, huko Mwanza labda kafika mara chache tu na hata lugha ya kisukuma haijui.. huyu atakuwa na tabia za kisukuma kweli?
 
Mpe pole, wanaume wazuri kuliko wote ni wa Tanga tu. wanaume hovyo ni wasukuma, wahaya na wakurya: hawa hawajui kupenda. wanawafanya wake zao kama chombo, kifaa,mfugo au kitu kingine wanachokimiliki ndani ya nyumba. hivyo ajiandae kwa hilo
 
Mkuu hiyo iko damuni kama mchaga na pesa,mgogo na kuomba omba,wazaramo na maneno mengi kama chiriku hata wangezaliwa kwenye sayari nyingine asili hawaachi.
 
Mpe pole, wanaume wazuri kuliko wote ni wa Tanga tu. wanaume hovyo ni wasukuma, wahaya na wakurya: hawa hawajui kupenda. wanawafanya wake zao kama chombo, kifaa,mfugo au kitu kingine wanachokimiliki ndani ya nyumba. hivyo ajiandae kwa hilo

Mwanaume kwenda kununua mchicha sokoni na kapu lake badala ya mke wake ndo upendo siyo! sisi ni watu wa kazi maigizo hatuwezi.
 
Back
Top Bottom