stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
Habarini,
Natumaini mu wazima, leo hebu tugeukie kanda ya ziwa tupeane tabia za wasukuma. Mdogo wangu anatarajia kuolewa hivi karibuni na msukuma mmoja hivi, sasa naombeni mtusaidie kujua tabia zao. Kama kuna mila na akitakiwa kwenda ukweni usukumani inabidi afanye mambo gani kufanana nao ili wamfurahie?
Ni hayo tu ahsanteni.