Naomba kujua tabia za wasukuma

Naomba kujua tabia za wasukuma

Duh, wana haiba ya kufa mtu lakini waongo, matapeli kwa ujumla siyo waoaji, mimi mwanangu aliolewa usukumani cha moto alikiona, kapigishwa hadi matofali
Lakini wakarimu sana, ukiwa kwao ukiomba maji ya kunywa wanakupa buyu la maziwa
waongo , matapeli, sio waoaji, ahahahaaaaaaa ni kama kweli haya mambooo
 
nimekukosa mnoooo sezae hebu mpe pure introduction mtoa mada lol

Dada yng miss neddy we acha tu! Mambo yamekua mengi sn! Yani yanazidi unga! Napata muda si wakutosha sn kuweza ingia kwa jf! Lkn Nashukuru niko pouwa! Mzima Lkn dada yng? Nimechelewa sn kujibu Hii post yako! Niwie radhi kwa Hilo edadaaaa!

Asante!
 
Last edited by a moderator:

usijali pole na majukumu yatimize kwa wakati jf ipo siku zote sisi tupo na mwallu ingawa tunakumiss sometime
 
Habarini,

Natumaini mu wazima, leo hebu tugeukie kanda ya ziwa tupeane tabia za wasukuma. Mdogo wangu anatarajia kuolewa hivi karibuni na msukuma mmoja hivi, sasa naombeni mtusaidie kujua tabia zao. Kama kuna mila na akitakiwa kwenda ukweni usukumani inabidi afanye mambo gani kufanana nao ili wamfurahie?

Ni hayo tu ahsanteni.

pesa kwanza mila mbwembwe chezea njaa ila wako poa afu wamoja kinoma
 
usijali pole na majukumu yatimize kwa wakati jf ipo siku zote sisi tupo na mwallu ingawa tunakumiss sometime

Nashukuru sn dada yng! Usijali dada yng Tuko Pamoja!
 
Last edited by a moderator:
Wasukuma kwa ujumla ni watu wema sana. Mlete tu mdogo wako tutamlea kwa upendo wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom