Naomba kujua tabia za wasukuma

Naomba kujua tabia za wasukuma

yaaa kuzaa watoto wengi ni kawaida sana huko isangang`walugesha maana ukizaa tu watoto weupe 10 tayari wewe umeshatoka kwenye maisha ......mtaji wa msukuma ni nguvu za kiuno chake uko hapo shem.

hahahaha, unauwa mkuu, kati ya dada zangu sita hakuna aliyeolewa kwa ng'ombe chini ya sitini!
 
hahahaha, unauwa mkuu, kati ya dada zangu sita hakuna aliyeolewa kwa ng'ombe chini ya sitini!

kwi kwi kwi wamburu,wachaga,wanyaturu,warangi, wangejua hili mapema wangewekaza watoto wao sukuma land siku nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiigi wangekuwa wameshatoka kimaisha zamani.
 
Mpe pole, wanaume wazuri kuliko wote ni wa Tanga tu. wanaume hovyo ni wasukuma, wahaya na wakurya: hawa hawajui kupenda. wanawafanya wake zao kama chombo, kifaa,mfugo au kitu kingine wanachokimiliki ndani ya nyumba. hivyo ajiandae kwa hilo

Poor kabisa hii siyo competition hujui tabia za wasukuma
 
Habarini,

Natumaini mu wazima, leo hebu tugeukie kanda ya ziwa tupeane tabia za wasukuma. Mdogo wangu anatarajia kuolewa hivi karibuni na msukuma mmoja hivi, sasa naombeni mtusaidie kujua tabia zao. Kama kuna mila na akitakiwa kwenda ukweni usukumani inabidi afanye mambo gani kufanana nao ili wamfurahie?

Ni hayo tu ahsanteni.
Wanapenda sn kula maboga, Wanawake wakitembea wanakata sn kiuno. Wanakula samaki mzima mzima bila kutafuna. Wakiende msalani hawatoki mapema mpaka wasikie umejikojolea nje wakati unasubiri ndo watoke. Kwa ujumla tabia zao ni nzuri sana hasa hilo la kukatalia chooni linanifurahisha sn. Ehee nimekumbuka mwambie mdogo wako awe tayari kutolewa kafara Gamboshi. Halafu kingineeeeee eheeee nimekumbuka wakilima lazima watoe halufu mbaya kwa nyuma kwa sababu wanatumia nguvu nyingi sana kuitikia kwa pamoja n.k n.k
 
Wasukuma ni nani na nani humu ndani?
Nawatafuta mjue!!!!
 
hapo sasa...kaka zangu kama wewe ni mweupe,na una zegembe nyuma la kutosha ...aaah hapo utapendwa,utatunzwa mpaka utasahau kwenu...we hutakiwi kuweka kigezo
Hahahahaaaaahahaaa uwiiii Wasukuma mna mambo nyie.
Nami nikiweka vigezo vyangu hapa hapatatosha wifi ujue?
mwallu
 
Last edited by a moderator:
Kuolewa aolewe mwingine tabia uchunguze wewe majanga + majanga!
 
hapo sasa...kaka zangu kama wewe ni mweupe,na una zegembe nyuma la kutosha ...aaah hapo utapendwa,utatunzwa mpaka utasahau kwenu...we hutakiwi kuweka kigezo

Aah namimi nina mwanaume wa ndoto yangu kabila tu halitoshi wii, mpaka nimuone kwanza huyo mume labda tukionana tutazimiana huwezi jua.
 
Back
Top Bottom