Naomba kujua tabia za wasukuma

Naomba kujua tabia za wasukuma


Tuko juu .....

.... na watoto asisahau kuwatunza haswa misosi ya nguvu katika umri mdogo !!!




dsc_0087.jpg

haka shija akanaka anghu? kwi kwi kwi!
 
Kila familia ina masamvva yake na kaduku

Nenheleage o ntana gone, hiyo ni x ray babu k

Mfumo dume ndio mpango mzima. Jiandae kwa suprise za kutosha. Uchawi ni jambo la kawaida nk
 
Duh, wana haiba ya kufa mtu lakini waongo, matapeli kwa ujumla siyo waoaji, mimi mwanangu aliolewa usukumani cha moto alikiona, kapigishwa hadi matofaliLakini wakarimu sana, ukiwa kwao ukiomba maji ya kunywa wanakupa buyu la maziwa
duh!! mkuu mwanao walimfanyeje? walimwonea?
 
He he he, huyo binti akitaka kuja huku, awe na kanga pair walau 2, prefarably njano.Awe na raba, urembo wa binti ni kuvaa raba, tena kijani ama bluuAwe na gauni la maua meeengi, rangi za kung'aa ndio swaggerAwe kasuka twende kilioniAsikose mafuta ya mamizAjifunze kupiga goti, tena lile la kusalimia watu 20 mmoja mmoja iukiwa chini. Au akitumwa mwaji anapiga goti hadi mnywaji amalize.Ajue salam. 'lwembo' la mumewe lazima ajueAjue kusonga ugali, uwe mgumu sio huu uji tunaopikiwa huku Dar tunadanganywa ni ugaliNitarudi...
heeeeeeeeee!! kwahiyo usipovaa raba hawatakufurahia??enhe na ule ugali mgum ndo ule ukimpiga mbwa anabweka??
 
Oooh madam! Uliwahi kumwuliza mdogo kama alimgoogle huyu msukuma kwenye internet kabla ya kuamua kuwa nae?Sorry kaswali ka nyongeza please! Naaaa kama kuna katabia ka huyo msukuma ambapo hakakufai wewe ila kanamsuite mdogo wako inaaa....inaaa..ina maana utamshauri asiolewe? One more question please! Unaweza kututajia kabila la mumeo/mchumba wako ili tukupe sifa za kabila lake ili tuone kama utaendelea kuwa nae? Thanks
maswali yako mengi mno kikubwa ni kuwa kaamua mwenyewe kuwa nae mimi nauliza tu kufahamu huwezi jua ya Mungu mengi pengine namie ntajaaliwa huko! mimi wangu mjaluo
 
huyu uvivu ulimtoa sukuma land sisi hatujazoea kuomba omba kama jamaa zetu wa kanda ile ya akina Matonya tunakula kwa jasho.....hivyo ajiandae kuja kula kwa jasho lake........Ni wakarimu uchoyo tunasikia kwa majirani tu.........Hatupendi mwanamke anaye ongea kama chiriku maana sisi ni watu wa kazi hatupendi longolongo..........Zile sketi fupi,vinguo vya kuonyesha maziwa aziache hukohuko atazikuta akija kuwasalimia baada ya kutuzalia watoto wa kutosha............Ruksa ndugu zako kuja kukutembelea hata wasipotoa taarifa maana kinachowafanya watu wapige kelele wakitembelewa bila taarifa ni njaa tu,sisi njaa tunasikia hatujui inafananaje.Baada ya kuyajua hayo karibu sana shemeji wise.
kwani ndugu ile taratibu ya kuwa na familia kubwa bado ipo hadi leo? hata kama mtu kasoma kaendelea?
 
1. Awe na heshima
2. Asiwe mvivu
3. Asiwe mchoyo especially kwenye chakula hata vitu vingine pia.
 
Back
Top Bottom