Chandaruaz
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 235
- 36
Hivi kumbe huku jf kuna mapenzi
teh teh tehh
!!
Ana tatizo la afya ya akili,au ameathirika kisaikologia, msaidie akapewe ushauri nasaha au tiba ya afya ya akili, asipokupa ushirikiano WACHANA NAE kabisa kabla hayajakukuta makubwa zaidi, mtiririko Wa maelezo yako unabainisha uwepo Wa psychological disorder.
miss chagga unamsingizia. Miss chagga hana swaga za kimakonde kama hivyo, I know her. She is very kind, jovial and charming, wala hutojuta kumfahamu ukishameet nae. Miss chagga ni shori mmoja ivi mstaarabu na anapenda friends & jokes.
Huyo demu wa mleta Uzi, ni just mgema minazi tu huko Chamazi mbagala. Alafu eti ni mwalimu, uwiiiii... majangest!
yani dada Nuru acha tu. kuna mademu wengine ni mambulula sana. nimesoma huo mkasa mpaka nikatamani ningekuwa mimi, ninge-return back nyodo ambazo ni 'advanced' hadi angejiona choo cha shimo. Huyo jamaa anaonekana ni innocent sana aisee. Mleta uzi bora angekutana na 'Panya Road' wa Kova, na sio huyo demu mwenye expiry date tayari.
Nashindwa kuelewa watu wanautoa wapi ujasiri.,, unaanza tu kukutana na mtu wa mtandaoni. Wengine majambaz/wabakaji wapo humu...
Ladies take care..
Aibu ya kufungulia mwaka
Aibu tunaona sisi ndugu yangu
Mhusika kwenye sredi nyingine anachangia kama kawaida
Nahisi mshipa wa aibu umemlegea dadadeki.
Aibu tunaona sisi ndugu yangu
Mhusika kwenye sredi nyingine anachangia kama kawaida
Nahisi mshipa wa aibu umemlegea dadadeki.
Kwani mna uhakika ndio yeye?Mbona mtoa mada hajamtaja?
Women...sijui ladies....sjui girls.....
Yani kwa kweli there is some work to be done on your personalities
Hivi walimu nao wanaingia jf? Ndio maana wanaishia kujitongozesha
Ana tatizo la afya ya akili,au ameathirika kisaikologia, msaidie akapewe ushauri nasaha au tiba ya afya ya akili, asipokupa ushirikiano WACHANA NAE kabisa kabla hayajakukuta makubwa zaidi, mtiririko Wa maelezo yako unabainisha uwepo Wa psychological disorder.
Tatizo umeshamuonyesha udhaifu wako,ila sisi wadada wakati mwengine tuna matatizo sasa hapo akikosa mume atasema ana gundu,wengine tunanyenyekea lakini wapii, Mtoa mada mimi sijaona kosa lako hapo hebu jaribu kupotezea uone kama hatokutafuta.
Hivi walimu nao wanaingia jf? Ndio maana wanaishia kujitongozesha