Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Hivi, vile vifua vikubwa tulivyopewa na mwenyezi Mungu na zile koromeo za kutunza na kuweka hasira zetu havipo tena. Kidume unaleta mambo ya chumbani kila mtu ajue??? Kama mmetendana huko si mmalizane huko? Nilidhani huwa wadada ndio wanashindwa kujizuia kuleta mambo ya chumbani, kumbe hata sie vidume??? mmmh!

Afu tabia ya kuwananga waalimu sio nzuri. Nyie mnaoona professions zenu zipo juu kuzidi waalimu acheni hizo bhana..!
 
Inaonekana unatafuta k ya Masai dada KWA nguvu.

Umasikini wa fikra , wanaume tuliopitia jando hatuwezi kufurahishwa na kilichotokea hapa.

Msaada halisi wa matatizo ya mtu hayawezi kupatikana kwa kuanika na kushabikia mambo binafsi ya mtu.
Huyo unayemtaka aje kujibu hapa haitamsaidia kitu yeye zaidi ya kuja kuwaridhisha nyie mashabiki mbuzi.
 
tushawazoea mbu tu hawa wanaotutukana
tunatukanwa na mawaziri seuse huyu!!!
mimi mwl na sifichi ndo kazi yangu
muulize ye ana kazi gani?

.......#mbu wamekukosea nini banaaa,....

Jamaa hajaelewa somo kuwa mwenziwe yupo #Likizo ya Malovee,
Jibu tosha kwa hayo yanayomkumba.

......kajiamulia kuwa kibusati cha mlangoni kisha analalama kinapofutiwa tope...
 
Kumbe kuna masela wanaopoa K humuhumu ndani!!

enewei kila stori ina pande tatu so bado hatuujui upande wa pili utakao tusaidia kupata upande wa tatu ambao ni ukweli.
 
MSUTO UNAKUJA, NA KEKI JUU NA SHAMPENI NA AMEKODIWA MZEE YUSUFU KABISAAA, UZI UTAANZISHWA NA MTUHUMIWA. Haiwezekani mwanamke mwenzetu adhalilishe hivi. Hicho kichambo FUNGUA MWAKA. cc amu

mmmmh si tupo watazamaji na popcorn zetu (am kidding)
 
Last edited by a moderator:
Hivi, vile vifua vikubwa tulivyopewa na mwenyezi Mungu na zile koromeo za kutunza na kuweka hasira zetu havipo tena. Kidume unaleta mambo ya chumbani kila mtu ajue??? Kama mmetendana huko si mmalizane huko? Nilidhani huwa wadada ndio wanashindwa kujizuia kuleta mambo ya chumbani, kumbe hata sie vidume??? mmmh!

Afu tabia ya kuwananga waalimu sio nzuri. Nyie mnaoona professions zenu zipo juu kuzidi waalimu acheni hizo bhana..!

Bado ni mvulana
 
Huyo hakutaki. Inamaana wanawake wote mtaani umekosa mpaka unakuja kuchanganyikiwa na wauza k..... Wa mtandaoni?
 
Kimbia vunjika miguu umekutana na msukule sio MTU... huyo ni wazi anamtu zaidi ya mmoja...... mwalimu wenyewe ndo yuko hivo hao watoto anaowafundisha si ndo watakua matahira..
 
Hivi, vile vifua vikubwa tulivyopewa na mwenyezi Mungu na zile koromeo za kutunza na kuweka hasira zetu havipo tena. Kidume unaleta mambo ya chumbani kila mtu ajue??? Kama mmetendana huko si mmalizane huko? Nilidhani huwa wadada ndio wanashindwa kujizuia kuleta mambo ya chumbani, kumbe hata sie vidume??? mmmh!

Afu tabia ya kuwananga waalimu sio nzuri. Nyie mnaoona professions zenu zipo juu kuzidi waalimu acheni hizo bhana..!

Mbona mnashadadia kwamba haya ni mambo ya chumbani? Au mimi nimeielewa ndivyo sivyo hii thread? Kwahiyo wewe hujawahi kuyumba kwenye usuhiano ukamuomba ushauri mtu unayemwamini? Uve always been self sufficient and never for a moment asked someone to advise you on an issue in your relationship? Na je ilikuwa ni jambo la chumbani?
 
Habari wana jamvi

Naomba ushauri wa kutambua Kosa langu katika hili labda naweza jifunza na kuomba msamaha

Nilipendezewa kiukweli sana na binti mmoja mwana jamvi humu nikaanza kumtokea lakini alinieleza kuwa ana yupo likizo ktk mahusiano ya kimapenzi kwa sasa.

Niliendelea kumshawishi ili aweze kumaliza hiyo likizo na kumuahidi sita mpa majonzi ya kumfanya achukue likizo tena.

Hakukubali direct ila tuliendelea kuchati kwa muda mrefu tu na tulikuwa tukiwasiliana hadi muda wa kulala tunaagana ndo kila mtu ana lala,nilipenda kumuandikia sms nikiishia na neno Mpz lakini alisema mimi sio mpz wako bado.Mimi nilimwambia sawa japo halidhuru chochote basi nitakuwa nikiandika sms siliandiki na badala yake nikifika sehemu ya kuandika nitaja kimoyoni tu halafu naendelea.

Tuliwasiliana kwa muda lakini hakuwa Daresalaam alikuwa ameenda Mkoani bt siku moja alianza kucharuka na kusema mbona siku hizi nimebadilika na simuiti mpz tena hata simu sipigi.

Nilijitetea kuwa nilikupigia mbona Mara moja akasema mwanzo ulikuwa unapiga Mara tatu sasa umepunguza Mimi nikaona isiwe mada nikaomba radhi akakubali tukaendelea na mawasiliano.

Siku moja aliniambia ujue Mimi nina mtoto nikamuuliza baba yake yupo wapi akasema amenitelekeza nikamwambia pole but maisha yanawezekana pia bila huyo baba yake.akasema ni kweli hadi sasa mtoto ana miaka 3 ana mlea mwenyewe nikasema hongera kwa uvumilivu na kuamua.

Tuliendelea na mazungumzo ila siku moja tarehe kama 30/12/2014 tukiwa tunachati ghafla niliona kaniblock watsapp nikamwandikia sms kawaida nikamuuliza kulikoni hakujibu!!nilikuja kumpigia saa tano usiku akawa ana kata na baadae alituma sms na kusema hawezi pokea Simu amelala na mtoto ataamka nikakubali na kesho yake akaendelea kuwa kimya.

Aliniambia ana taraji kurudi tarehe 1/1/2015 kwa kuwa ni mwalimu wa shule moja hivi lakini kwa kuwa hakuwa anawasiliana nami tena niliamua kupotezea tu,Leo majira ya saa nne asb nikaona sms yake on my way!!nikamwambia umeanza safari ya kuja akasema ndio basi nikamwambia karibu sikutaka kukumbusha yale .


Tuliendelea kuwasiliana hadi alipofika nikaenda kumpokea baadae nilimuambia vipi ulisema unakuja na mwanao mbona hujaja nae akasema hana dada wa kazi ameamua kumuacha na mama yake baadae aliniuliza una mtoto nikamwambia ndio akasema hawezi olewa na mwanaume mwenye mtoto nilimuambia kwa nini aksema huwa mna kumbushia nikasema Jf Leo kulikuwa na Uzi wa hii mada na ulikuwa unachangia kuonesha inawezekana Leo vipi akasema hayo ni mamabo ya mtandaoni siwezi kuzungumzia

Tukaendelea na safari nikawa nimepigiwa Simu na dada yangu mmoja nikaongea nae na baadae niliongea na Mama wa mwanangu ambaye alinipigia Simu akaanza kuniuliza mwanao ana itwa nani? Nikamwambia akasema na huyo mama yake nikasema ndio akasema mbona mna active communication nikamwambia ni active communication na sio active mapenzi.

Akaanza kuwa mkali na kusema nimshushe njiani kwani hapendi kudanganywa nikamwambia hapo uongo upo wapi?akasema unawezaje kuwa na mpz na ukaongea na ex Wako nikamwambia inawezekana akasema Mimi nilikudanga sina mtoto nilitaka kukupima!!!!???

Najiuliza

1. lengo la kusema ana mtoto ndo kumpima mwanaume?
2. Mbona aliniomba nimtafutie dada wa kazi kwa ajili ya mwanae au alikuwa ana nipima back
3.Mbona nilipopiga simu usiku alisema amelala na mtoto au ndo alikuwa ana nipima?

Najiuliza maswali mengi zaidi ya hayo ?na baadae aliomba nimushushe njiani ila nilimtoa ubungo hadi Mbagala maji matitu kwa umbali huo na alikuwa naelekea chamazi akadai ana boreka na uongo wangu na pretending na ndo maana hawapendi wanaume akaomba kushuka na ikabidi nimshushe japo nilimwambia Leo Luna panya road umewaona nakuonea huruma just nikufikishe karibu na kwako alikataa na nikabidi nishushe na sijui amefika au LA


Nawasilisha naweza mtaja akiridhia na sheria za Jf kama zina ruhusu kwani nimeumia na kuwaza sana which kind of woman is this

Naomba radhi kwa kuwachosha japo lengo langu muelewe kwa kiasi pa kuanzia kunishauri


Regards,
Superbrand
Achana naye atakusumbua,mwanamke hekima na busara siyo vipimo vya namna hiyo
 
baadae aliniuliza una mtoto nikamwambia ndio akasema hawezi olewa na mwanaume mwenye mtoto nilimuambia kwa nini aksema huwa mna kumbushia nikasema Jf Leo kulikuwa na Uzi wa hii mada na ulikuwa unachangia kuonesha inawezekana Leo vipi akasema hayo ni mamabo ya mtandaoni siwezi kuzungumzia

Aisee...!
 
Back
Top Bottom