mmmh pole ndo inavyokuwaga mwanaume mpole lazima akutane na mwanamke mwenye visa na mikasa and viceversa
Umejuaje? Au unanisema? Hahaha dudu morning mpwa
Superbrand bhana usimuache ila mpe muda kidogo, mwache kidogo atarudi faster usionyeshe hasira.
Mwanzo mkuu alini block bila sababu na hata hivyo hatukuwasiliana kwa siku mbili lakini akaja nambia around saa nne asb am on my way yupo Mombo.
Basi nikaona atakuwa kajifunza ameamua kufunguka zaidi lakini ndo hayo kaja kufanya baadae nilipompokea
interesting.......kumbe
mbagala chamazi pia kuna a sister du wa kuomba kushushwa kwenye gari
njiani?
halafu akaenda kugombania daladala?
this is news to me.........
yaani wadada wa kibongo kwa kuiga movie za Hollywood hadi wanajiumiza
yaani unaelekea Chamazi eti umekairika ushushwe njiani?
mimi ngingemshusha fast na wala nisingmpigia tena....
huyo sister du wa mbagala keshakusoma weakness zako so anakutingisha tu
hadi mwisho akwambie mwanao simtaki alelewe na mama yake......ignore her
haraka
Mwanzo mkuu alini block
bila sababu na hata hivyo hatukuwasiliana kwa siku mbili lakini akaja
nambia around saa nne asb am on my way yupo Mombo.
Basi nikaona atakuwa kajifunza ameamua kufunguka zaidi lakini ndo hayo
kaja kufanya baadae nilipompokea
Sijui mnapata wapo uvumilivu kwa Hawa bastard!......I wonder...... Piga chini faster
Ana mashetani au:what: .... mpe likizo ya mwezi mzima kama hajakutafuta mwenyew kwa vocha yake..... kukaa unaumiza kichwa niaje asee hakunaga kuremba siku hizi
mkuu, hakuna mwanamke hapo. piga chini gume-gume hilo lisilojitambua. na kama alikuwa anatikisa kiberiti ili aone umezimikaje kwake, basi maliza kabisa na funga ukurasa! Umeliheshimu na kuchoma mafuta yako all the way from Ubungo to Mbagala, limeona lishafika mbagala alafu ndo linajifanya kususa na kushuka??!! si ajabu halijasema ata 'AHSANTE' kwa lift.
Demu anakuwa mkali/mkorofi kiasi hicho just at the FIRST DATE??!! puuuuuuuuh. huyo ndo maana kaishia kuzalishwa na kutelekezwa tu. Mwanaume gani anaejitambua aoe jike lenye akili-mibange kama hilo?
mademu wenye kupretend 'mapozi-mbuzi' kama huyo ndo huwa na-DELETE fastaaaa kwenye memory yangu, tena na-format kabisa.
Mkuu, pole kwa mkosi huo ambao naamini umekuharibia jioni yako ya leo. Plus ungekutana na 'Panya Road' wa Kova, ndo kabisaaa ungezimia na roho yako. Endelea kutafuta mke, wewe ni 'SUPER BRAND' bhana, Mungu akujaalie upate mke ambae ni super-branded as well.
-Kaveli-