In life we are told not to argue with a fool like Matola. Ukivuta Bangi unadhani kila mtu anavuta. Kama Masai Dada asingekuwa anahusika, basi angejongea hapa jamvini na kutuelewesha. Huoni ni upungufu wa hekima kumtetea mtu wakati mwenyewe anauwezo wa kujitetea? Matola wewe ni mtu mzima kiumli ila hujakomaa kiakili. Pole sana na sitajibizana nawe