mkuu, hakuna mwanamke hapo. piga chini gume-gume hilo lisilojitambua. na kama alikuwa anatikisa kiberiti ili aone umezimikaje kwake, basi maliza kabisa na funga ukurasa! Umeliheshimu na kuchoma mafuta yako all the way from Ubungo to Mbagala, limeona lishafika mbagala alafu ndo linajifanya kususa na kushuka??!! si ajabu halijasema ata 'AHSANTE' kwa lift.
Demu anakuwa mkali/mkorofi kiasi hicho just at the FIRST DATE??!! puuuuuuuuh. huyo ndo maana kaishia kuzalishwa na kutelekezwa tu. Mwanaume gani anaejitambua aoe jike lenye akili-mibange kama hilo?
mademu wenye kupretend 'mapozi-mbuzi' kama huyo ndo huwa na-DELETE fastaaaa kwenye memory yangu, tena na-format kabisa.
Mkuu, pole kwa mkosi huo ambao naamini umekuharibia jioni yako ya leo. Plus ungekutana na 'Panya Road' wa Kova, ndo kabisaaa ungezimia na roho yako. Endelea kutafuta mke, wewe ni 'SUPER BRAND' bhana, Mungu akujaalie upate mke ambae ni super-branded as well.
-Kaveli-
Kaveli umenikosha sana, piga chini huyo, utapata mwingine na utasahau yaliyopita