Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Huyo Lazima Atakuwa Misschagga Au tinnacute hawa mabinti wakorofi sana!

miss chagga unamsingizia. Miss chagga hana swaga za kimakonde kama hivyo, I know her. She is very kind, jovial and charming, wala hutojuta kumfahamu ukishameet nae. Miss chagga ni shori mmoja ivi mstaarabu na anapenda friends & jokes.

Huyo demu wa mleta Uzi, ni just mgema minazi tu huko Chamazi mbagala. Alafu eti ni mwalimu, uwiiiii... majangest!
 
Last edited by a moderator:
Umejuaje? Au unanisema? Hahaha dudu morning mpwa
Superbrand bhana usimuache ila mpe muda kidogo, mwache kidogo atarudi faster usionyeshe hasira.

hahaha wewe ndo utakuwa mwenye visa na mikasa na wifi mpole lol
 
Last edited by a moderator:
Jamani wadada kama hujarizika na mtu si unamwambia kuliko kumzungusha mpaka mnakuwa tena maadui!!!??
 
Nasikia sheria za Jf haziruhusu ningeku pm na kumtaja kabisa Omba ruhusa kwa Moderator na kanambia ana juana nao pia naogopa Ban Mkuu

Mkuu ebu muanike tu. Ukimuanika utakuwa umesaidia sana wote wanaotafuta mke umu waukwepe huo mkosi. Mkuu huyo demu akili za antenna amekutia nuksi kubwa, advisably wahi mapema ukaoge maji ya bahari.
 
Mkuu ebu muanike tu. Ukimuanika utakuwa umesaidia sana wote wanaotafuta mke umu waukwepe huo mkosi. Mkuu huyo demu akili za antenna amekutia nuksi kubwa, advisably wahi mapema ukaoge maji ya bahari.

Kuna wakuu wameisha mfahamu na wamenitumia pm na wanajua tabia zake

Wamenishauri vizuri sana nawashukuru sana wote waliokuja pm na kunishauri..naahidi kuyafanyia kazi na nimeisha anza kufanyia kazi

Naamini ana juta sana kwani hakutegemea nitakuja jamvini hadi sasa hajachangia wala kukanusha hata moja zaidi ya kunitumia sms "Ukifuata ushauri wa Jf you will ruin your life Mark ma words"
 
Huyo ni pasua kichwa achana naye, mbona wanaume tuna sychology kubwa tu ya kumtambua mwanamke mzuri kitabia? kwa nn akuyumbishe huyo?
 
Back
Top Bottom