Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

.....Swahiba, kabla ya kukujibu nilikuwa namsoma muanzisha mada. Aiseeeee,......
anyway, Mbu siku mingi nimeacha kutoa ushauri nasaha mambo ya #MMU hivyo hata
kumsaidia mawazo huyu bwana mkubwa naona nitakuwa nakurupuka.

......Kwa kifupi, afuate nini roho yake (sio akili) inavyomuonya.
Kwangu Mapenzi ya aina hiyo yana kila dalili ya kuumizana huko mbele ya safari, kwani
Mhusika mmoja hataki kujiponesha vidonda vya #kuachana au kuachwa na anayehisi 'amuharibia' maisha.

Nakuunga mkono kabisa...

Ndiyo maana huwa sielewi na sidhani kama itatokea niwaelewe wanaosema kuwa kazi kubwa ya PM ni kutongozana... Really??

Ila hata pale inapotokea, basi wahusika wachukue tahadhari kwa kujua kuwa kuna tofauti ya mtu halisi unayekutana naye mtaani, ukaongea naye na ku-enjoy body language, na mtu wa kwenye key boards ambaye unakula ugali kwa samaki (avatar)!..

cc: Mbu ...swahiba njoo haraka utoe msaada!
 
.....Swahiba, kabla ya kukujibu nilikuwa namsoma muanzisha mada. Aiseeeee,......
anyway, Mbu siku mingi nimeacha kutoa ushauri nasaha mambo ya #MMU hivyo hata
kumsaidia mawazo huyu bwana mkubwa naona nitakuwa nakurupuka.

Kwa kifupi, afuate nini roho yake (sio akili) inavyomuonya.
Kwangu Mapenzi ya aina hiyo yana kila dalili ya kuumizana huko mbele ya safari, kwani
Mhusika mmoja hataki kujiponesha vidonda vya #kuachana au kuachwa na anayehisi 'amuharibia' maisha.

Ndiyo maana halisi ya jungu kuu......

Siongezi kitu swahiba.

Heri ya mwaka mpya....!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mipaka ya Mwalimu ni wapi? We unafikiri jf ni mbinguni au ni ulimbukeni tu uliokujaa, wangapi wanaojitongozesha ndani na nje ya jf wote ni waalimu? Jaribu kuwa na staha na heshima kwa professional ya wenzako.

tushawazoea mbu tu hawa wanaotutukana
tunatukanwa na mawaziri seuse huyu!!!
mimi mwl na sifichi ndo kazi yangu
muulize ye ana kazi gani?
 
Sasa nyie inawahusu nini wakuu?
Mwacheni mtu na maisha yake binafsi, siyo poa kushadadia

Bora hata uwaambie halafu wote wanaoshadadia kuwa aje hapa ni men yani hapo ndio nachoka kabisaaa yani thread imekaa kiswahiliniii?Na sijui aje hapa kufanya nini tu dada wa watu.

By the way silence is the best answer to me.Mie namuombea hata asije maana kwa mentality ya baadhi ya watu wa hii thread wanataka waje wamvuruge tu dada wa watu.
 
Back
Top Bottom