Mcanada
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 982
- 1,906
Mimi ni mkristo na nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 8 na tumebarikiwa kuwa na watoto wawili sasa ila kuna jambo nililikosea kwa mkewangu na sasa nataka nimwambie ukweli kuhusu hilo sasa kutokana na uzoefu kumhusu kwa kaliba yake naona kabisa ataenda kukiwasha isivyo kawaida na kwa asilimia 89.6% anaweza kudai talaka (namuwazia tu kichwani).
Sasa kabla sijakubali atakachokidai naomba kufahamu kwa wale ambao mmeshapitia hii situation ya ndoa kuvunjika mpaka kupeana talaka.
Je, kuna madhara yoyote yanaweza kutokea kama mmekaa kwenye ndoa kwa muda mrefu kiasi hiki ukiachana na kugawana mali sijui nini?
Je, haya mambo ya kupeana talaka inaweza kuniletea shida ya kisaikolojia au kiroho nikakengeuka?
Mliopita kwenye hii situation naomba uzoefu wenu, nitashukuru sana kabla sijaaamua ..🙏