Naomba kufahamu Madhara ya kupeana talaka baada ya ndoa Kuvunjika

Mcanada

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
982
1,904
Mimi ni mkristo na nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 8 na tumebarikiwa kuwa na watoto wawili sasa ila kuna jambo nililikosea kwa mkewangu na sasa nataka nimwambie ukweli kuhusu hilo sasa kutokana na uzoefu kumhusu kwa kaliba yake naona kabisa ataenda kukiwasha isivyo kawaida na kwa asilimia 89.6% anaweza kudai talaka (namuwazia tu kichwani:().

Sasa kabla sijakubali atakachokidai naomba kufahamu kwa wale ambao mmeshapitia hii situation ya ndoa kuvunjika mpaka kupeana talaka.

Je, kuna madhara yoyote yanaweza kutokea kama mmekaa kwenye ndoa kwa muda mrefu kiasi hiki ukiachana na kugawana mali sijui nini?

Je, haya mambo ya kupeana talaka inaweza kuniletea shida ya kisaikolojia au kiroho nikakengeuka?

Mliopita kwenye hii situation naomba uzoefu wenu, nitashukuru sana kabla sijaaamua ..🙏
 
Watoto ndio hupata shida and yes itawatesa nyote kisaikolojia na hasa mwanaume hua rahisi sana kukengeuka,

Kama ni lazima sana kumwambia basi mtoe out, nendeni sehemu for a weekend just the two of you, spend a good time together, mkumbushe mlivyokutana, ups and downs, msifie alivyo mjasiri, mueleweshe bila yeye usingekua hapo, mjaze masifa hadi ajione Queen wa Dunia, kisha mwambie jambo lako kwa upole na hata akireact jaribu kua cool huku ukimplease acalm down ni changamoto, akilegea tu kula mate kama Fantana alivyokua anakula domo la Mondi, piga show ya kibabe hadi asiweze kutembea for 30 mnts, be romantic,

Imeisha hiyoooooooooooo
 
Kama hauwezi kustahimili ndoa, mwambie tu ili muachane... Yaani hadi una umri wa miaka minane katika ndoa haujui mkiachana utapata hasara zipi! Kweli....

Mkiachana wala hakuna madhara mkuu... Utaishi peke yako kama mfalme na utaheshimika sana kwa sababu wewe ni mwamba umeachana na mkeo.
 
Watoto ndio hupata shida and yes itawatesa nyote kisaikolojia na hasa mwanaume hua rahisi sana kukengeuka,

Kama ni lazima sana kumwambia basi mtoe out, nendeni sehemu for a weekend just the two of you, spend a good time together, mkumbushe mlivyokutana, ups and downs, msifie alivyo mjasiri, mueleweshe bila yeye usingekua hapo, mjaze masifa hadi ajione Queen wa Dunia, kisha mwambie jambo lako kwa upole na hata akireact jaribu kua cool huku ukimplease acalm down ni changamoto, akilegea tu kula mate kama Fantana alivyokua anakula domo la Mondi, piga show ya kibabe hadi asiweze kutembea for 30 mnts, be romantic,

Imeisha hiyoooooooooooo
Sema nini, mchango wa kibabe sana mtu wangu🤣
 
asante mkuu wazo jema hili ill try my level best..
 
Back
Top Bottom