Naomba kufahamishwa kuhusu Rais Samia kumtuma Hussein Mwinyi kumwakilisha nje ya nchi

Wewe ni TAGA jinga kuliko yote! Rais anaweza kumtuma mtu yeyote anaeona anafaa kumuwakilisha kwa maslahi mapana ya nchi na ndio maana huwa hata viongozi wastaafu huwa wanawawakilisha marais kwenye shuhuri nyingi nje ya nchi!!!
Hata hao MaRC na MaDC anaowateua, wapo pale kama wawakilishi wake ndio maana anaweza kutengua uteuzi pale anapotaka yeye a' la a' Jiwe alivyokuwa anawatumbua watu hadharani!!! They selve at her pleasure!!!!
Umejibu kwa hasira na matusi tu lakini hukujibu swali la msingi la mleta maada wala mtoa maoni😜!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom