incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,229
- 3,525
Nimeona Jana kauli ya Waziri kuwa hataruhusiwa Mtanzania kuingia uwanjani na jezi ya Team ambayo siyo ya Tanzania, Mfano Mtanzania anaeishabikia team ya Mamelod hataruhusiwa kwenda kushuhudia team yake Ikicheza na Yanga eti kisa uzalendo,
Kwenye michezo hasa ngazi ya vilabu hakuna sheria ya uzalendo, mtu anaruhusiwa kushabikia team yoyote ile ambao anahisi ndio inamfurahisha kama tungekuwa na ushabiki wa Inchi kwenye vilabu basi soka la china ndio lingekuwa na mashabiki wengi kama tutatumia kigezo cha utaifa katika soka ngazi ya vilabu kwa kuzingatia wingi wa wanainchi wa China.
Wito wangu ni kwamba viongozi wetu kabla hawajatoa matamko waweze kutafakari kwa kina, Lakini pia je Waziri wa sanaa na Michezo anaijua soka? Anajua maana ya ushabiki? Je alishawahi kuwa shabiki?
Hutuwezi kulazimishana katika uhuru wa kufurahi, kitendo cha kuingilia uhuru wa mtu aipende Team gani kwa sababu tu ya Utaifa ni kuingilia uhuru wa wanainchi na kuingilia taratibu za soka na hata kupoteza mvuto wa ligi ya Tanzania kwani huu upinzani na utani ndio umepelekea vilabu vya Tanzania kutambua thaman yao na kufanya vizuri zaidi.
Nimedhamilia mimi ni shabiki wa mamelodi na nitaingia kuangalia mpira nikiwa na Jezi ya Team yangu pendwa iwapo nitazuiliwa kuingia uwanjani kutokana na sheria iliyowekwa na serikali, Mimi pamoja na mashabiki wenzangu tutaenda kutafta haki yetu CAF na tutareport kunyimwa haki kuingia uwanjani,
Tupo tayari kuriport CAF kwa kuwa sisi wanasoka tunatambua CAF ndio chombo cha kutetea na kutatua changamoto za kimchezo wala sio Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania,
Namkumbusha waziri kiwa vipo vingi sana vya kuzingatia katika kutukuza uzalendo kama vile kupambana na Rushwa, uvujaji wa mali za umma, Utii wa viongozi maofisini na makazini, kupunguza tozo na mfumuko wa Bei, Maadili na kulinda utamaduni wa Mtanzania, huo ndio uzalendo, ila sio katika soka, soka ni sehem ya burudani, starehe kwa hiyo mtu ana haki ya kuchagua kipi chakumstamstaresha na kumburudisha, Mpira hauna uzalendo, maana kuna watu hata mpira hawaujui ila likija swala la uzalendo ni wazalendo haswa.
Tanzania Amka! Tunapoelekea naona soka la Tanzania linaenda kupigwa burn. Kwa uhuru wa maamzi ya mtu mmoja ambae hafaham soka.