white girl
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,361
- 401
Kwani we uko wapi... !? maana hiyo usiku..?
Nipo India najifunza kucheza kuchi kuchi hotae,vip wataka kujaa
Kwani we uko wapi... !? maana hiyo usiku..?
Demba mbona umeweka avatar ya mke wangu kwako...ha ha ha
jaman kwani sasha kaolewa lini? mbona ni mtoto mdogo sana hata 15yrs hajafika?
jaman kwani sasha kaolewa lini? mbona ni mtoto mdogo sana hata 15yrs hajafika?
Wanaoweza wana nini na mimi nishindwe sina nini? Nitaweza bhana!
nipo..nmevimbiwa!!!Watu mpo?
nipo..nmevimbiwa!!!
UgariiiiiUmekula nini?
Yahuuuuuuuuu
Wapenda samaki we mashallah....Samaki na mie😱😱😱😱😱
habari wapendwa. mimi usingizi umegoma, ambaye hajalala karibuni kwa stori.
Hii video (nyimbo) sjaelewa atii, yamansha nn?
Hii video (nyimbo) sjaelewa atii, yamansha nn?