Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
Huku msidhani nimewakimbia@farkhina lile dili lakuuza zile ngoma za voda jamaa wamenistukia siunajua nilishaanza kuzishusha sasa natafutwa bily ulinipa dili lakuuza Malawi na Zambia sasa mwenzenu kibarua sina tena,ndio maana huku siingii jamaa watanikamata Jerrymsigwa usione kimya ila my dia wangu mimi49 anajua mkasa huu wote hata Rugebwe79 alimuhadithia pia
Last edited by a moderator: