Young Tanzanian
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,736
- 293
mmmh mtoa mada anatuchezea tu huyu! mbona story yenyewe haiji?
Demba mbona umeweka avatar ya mke wangu kwako...ha ha ha
mmmh mtoa mada anatuchezea tu huyu! mbona story yenyewe haiji?
ha ha ha kumbe upo umetulia tuWeweee muda wote nlikuwa natazama tu,sijalala Baba utauwawa bureee!!!
unaenda na bada lakini!Nimesikia kuna samaki chukuchuku naombeni jamani nna njaa...
haaaaa sina kitu!my best food...!
naomba unieleze kitu.. engagement ring unayo kidoleni?
you seem to bold my heart..
nipostie na mie naitaka!!!!Shosti mbuzi wa leo alikua mkali sana...nampika na nimezimua na tomato paste bado hashikiki wacha nianze kukokoa na machozii..ila tamu hiyo mpaka shemegio kasifu
nipostie na mie naitaka!!!!
ha ha ha kumbe upo umetulia tu
Tena wamjibu kwa mbwembwe kabisa,eti sina mchumba wala mume,ntavunja shingo mtu humu
Mie huwa nakula ugali uliochanganywa unga wa Ngano+dona+muhogo...unakuwa mzuri sana yaan nikienda kwa watu au hotelini nikakutana na sembe au dona huwa sipati radha kabisa ya chakula.Mkoa niliopo mtama haupatikan ningeuongeza kwenye listiAhsante ndo nmeusikia leo...Nishakula ugali wa muhogo lakini si ulochanganywa na mtama!!
Natisha eeeh....kitu smokey hiyo au vipi shosti mimi49..
Hapa wote wapo reserved!!
he he he hewalaa......itabidi tumpake wanja wa sunna huyu Mtoto halali na hela
Ahsante ndo nmeusikia leo...Nishakula ugali wa muhogo lakini si ulochanganywa na mtama!!
Ah! Naota tu!!
Mie huwa nakula ugali uliochanganywa unga wa Ngano+dona+muhogo...unakuwa mzuri sana yaan nikienda kwa watu au hotelini nikakutana na sembe au dona huwa sipati radha kabisa ya chakula.Mkoa niliopo mtama haupatikan ningeuongeza kwenye listi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
huna mume we mtotot!! heeee!! hebu muite masawe bwana mmalizie siku!
burudani wajipa mwenyewe?
Nenda jf chef nimeweka recipe yake...
Me ndo first born macho yote kwangu nikiharibu tuu ,,,,,