- Thread starter
- #1,881
Mpo jamani?
tupo, tupo kabisa, jeuri ya chama........!! unaujua usemi huo?
Mpo jamani?
Mpo jamani?
tupo, tupo kabisa, jeuri ya chama........!! unaujua usemi huo?
habari yako?
Aisee powa leo nlilala na mimi
hahahaa ulilala na mimi?ndo nani tena huyo?
Yes yes yeeees
Hivi kuke inbox bado kuko fully?
Wacha kabisa.. yaan nafuta 5 zinaingia 20..... Labda nikupe ID ya my hesbebd C6 upm kuleee!"
Fanya ibada na Mungu wako wewe...wakati mwingine Muumba hukunyima kidogo usingizi walau umkumbuke.
hongera wewe ndo leader wa familia!waongoze salama wanaokufata...
Nimependa hii...sijui niu dedicate kwa nan...uuuuuuush
Mmmh mmmh we una yako
Ngoja wengine tulale bana tukue vizuri,
Kumbe bado hujakua? au kuna maungo muhimu muhimu wataka kuyakuza?
kulikoni umegeuka mlinzi leo?
Weee kama wataka kwenda twende tu...