Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
Kumbe nawe mpenzi wa pilipili...njoo ule ya kwangu lazima ulie machozi lol...
Afu nakukumbusha kuwa kuna pilipili chungu na tamu, mimi nataka zile tamu. Utanipa?:A S kiss:
Kumbe nawe mpenzi wa pilipili...njoo ule ya kwangu lazima ulie machozi lol...
hiyo tena!ila ugali wa mtama na mhogo...utaweza?
my sweet shem mzima wewe!
ugali kachumbari..karibu tule
Kumbe bado hujakua? au kuna maungo muhimu muhimu wataka kuyakuza?
wife charminglady jamaa kakimbia ulivosema aje inbox kwangu enheeee
Kuna baadhi ya visehemu huku chini chin sijakua vizuri
jamani....kwani vibaya?mbona mkali hivo brodha!!!Tena wamjibu kwa mbwembwe kabisa,eti sina mchumba wala mume,ntavunja shingo mtu humu
itabidi niuonje huo...Mie huwa nakula ugali uliochanganywa unga wa Ngano+dona+muhogo...unakuwa mzuri sana yaan nikienda kwa watu au hotelini nikakutana na sembe au dona huwa sipati radha kabisa ya chakula.Mkoa niliopo mtama haupatikan ningeuongeza kwenye listi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
mpaka gani na ni sunnah ya mtume(S.A.W)naona unavuka mpaka sasa
Ehhhhh haya wafuate hao....sawa ila najua wengine wanao zaidi ya mmoja
ntakutumia mtama uongezee kwenye list..
Ukionja hautaacha ni mzuri kwakweliitabidi niuonje huo...
Hivyo vinahitaji dawa... nione haraka iwezekanavyo.
Ngoja pakuche au nije usikuu huuuu tu,namuogopa watu8 ashanionya kuzurula usiku
Kwa dady...
Madaktari bhana...
Kuna baadhi ya visehemu huku chini chin sijakua vizuri
Hivyo visehemu havina jina? au unamaanisha visigino