nani unamkubali/unamgwaya jf?

Mie nawapenda wote ila zaidi ni mme wangu rejao,
Najisikia raha sana kuquote post zake(hapa ni kimahaba zaidi)

Kijamii Babu ODM post zake huwa zinanifanya nafurahi mpaka nasahau shida zangu na kujihisi niko dunia nyingine!!!

Simwogopi /simchukii mtu na km naona topic/post sijaipenda nairuka km siioni na naendelea kula raha JF!
 
Afu sehemu za kuuzia nyama zinaitwaje?
Kuna mmoja ana jina kama hilo mwanzo, mwisho linaishia na zile chapati zinawekewa mara butter mara garlic.

Uwiii, nikimuona huyo sehemu zote husinyaa na kunyauka kama majani makavu.
 
Mie nawapenda wote ila zaidi ni mme wangu rejao,
Najisikia raha sana kuquote post zake(hapa ni kimahaba zaidi)

Kijamii Babu ODM post zake huwa zinanifanya nafurahi mpaka nasahau shida zangu na kujihisi niko dunia nyingine!!!

Simwogopi /simchukii mtu na km naona topic/post sijaipenda nairuka km siioni na naendelea kula raha JF!
Yaani kwa lugha nyingine unakuwa umefika kileleni.

Nilikuwa sijui kama huwa nakufikisha kileleni asee...:welcome:
 
Yaani kwa lugha nyingine unakuwa umefika kileleni.

Nilikuwa sijui kama huwa nakufikisha kileleni asee...:welcome:

Hahahahah hahahhha hahahahahha!

Kwiiiiii kwiiiii kwiiiiiiii,kwaaaaaa kwaaaaa uwiiiiiiiiii mie mbavu zangu lol!
Hakika kwa post hii umenihamishia sijui wapi maana wala sio dunia nyingine lol!
 
30. Mamndenyi... atakuwa wa kwetu Rombo huyu...

walau umenitaja inatosha,
nakutakia pasaka ya furaha mkuu.
Ulifikiri ningekusahau?

Au umesahau kuwa :washing:SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA:ballchain:??????
 
Bila kujali itifaki wala upendeleo. Jinsia ikizingatiwa kwa imani ya babu kutokana na miandiko yao.
1. Kongosho asali ya ODM
2. AshaDii shem la Ukwee
3. Lizzy dada langu
4.Michelle wa mapacha yangu ma3
5. Cantalasia binti Mtambuzi
6. Mwali (sifa inahifaziwa)
7.Sweetlady
8. MwanajamiiOne
9. Blaki Womani
10. Preta
11. Sweetlady
12. Afrodenzi kijukuu kiteule
13. ZionDaughter mchumba wa babu
14. King'asti
15. Russian Roulette mwoga wa kunilamba ban
16. bht my real Mamushka
17. Amyner ka ukweee
18. Obsesd kijukuu kivivu
19. Dena Amsi mtoto mtukutu
20. Fixed Point mama mkwe wangu
21. Lily Flower jidada la ODM
22. Kabakabana kjukuu chema cha ODM
23. Smile kijukuu kidekaji
24. Husninyo kijukuu cha kambo tokea mpwapwa
25. ............
26. Nimemsahau kiduchu damn me!
27. Anajijua sataki kumtaja hapa
28. Bado sina uhakika wa jinsia yake
29. Badili tabia
30. Mamndenyi... atakuwa wa kwetu Rombo huyu...

Vidume:
1. Klorokwini
2. Felo tablet
3. Fellow Tablet
4. klorokwini
5. klorokwini
6. FT

Naowaogopa?
Hamna

Nisiowapenda?
Invizibo
Kunitaja mara mbili manake unanikubali kuliko wote lol. Sante babu Asprin.
 
Hahahahah hahahhha hahahahahha!

Kwiiiiii kwiiiii kwiiiiiiii,kwaaaaaa kwaaaaa uwiiiiiiiiii mie mbavu zangu lol!
Hakika kwa post hii umenihamishia sijui wapi maana wala sio dunia nyingine lol!
Nimekuhamisha kutoka kileleni nikakukuhamishia climax. Vipi umeshafika climax au niendelee kuongeza juhudi za kukuhamisha?

Hii post mod wakiitoa nalog off mpaka pasaka iishe:banplease:
 
Kunitaja mara mbili manake unanikubali kuliko wote lol. Sante babu Asprin.
Kaangilie niliowarudia zaidi ya mara moja. Utajikuta wewe na klorokwini.... sasa uchanganye na za mbayuwayu lol

Afu nna siku nyingi sana sijapata LIKE yako. Hivi unajua ukinigongea like huwa unaniongezeaga nguvu za kiume? Haya kafanye hima ili hii long weekend bibi yenu apate huduma jamii uroda shirikishi wa kutosha.
 
Dalili zipo naona wameanza na kitufe cha 'like'

Nimekuhamisha kutoka kileleni nikakukuhamishia climax. Vipi umeshafika climax au niendelee kuongeza juhudi za kukuhamisha?

Hii post mod wakiitoa nalog off mpaka pasaka iishe:banplease:
 
Back
Top Bottom