Shukrani Sana..umeeleweka vizuri kabisa
F.L.M-Franco Luambo Makiadisasa chagua GOAT wako
we jamaa upo? usije ukawa umekata motoKwa mara ya kwanza tangu nikufahamu umeandika uzi kabambe.
Hata hivyo si rahisi kumtaja mtu mmoja kwenye swali lako, hii ni kwa sababu Rhumba ina vipengere kadhaa, hakuna msanii mmoja anaweza kufit mote.
Yuko pia Nyoka Longo, lakini kwenye kizazi kipya kuna Ferre Gola, kiukweli hili ni eneo pana mno!
Kuna goma lake mayday na mh so poaGoat ni Fally Ipupa, yéyé ni mwendo wa hit tuu, kijana anajua sana tokoos
Kumbe kuna rhumba ya kimarekani na ya kiafrikaList hii ni ya OG wa rhumba, wakina fally wanaimba Rhumba ya kimarekan
Nawakubali wote (Franco, papa Wemba, Tabu Let Rochereau, na pepe kale) lakini ngoja leo nimchague Tabu Let Rochereau muzee ya masauti muzuri.Kumbe kuna rhumba ya kimarekani na ya kiafrika
secretarybird
huo ni uongo, Franco alikua mtunzi na mwimbaji mzuri infact alikua exceptional mpaka kwenye guitaa! Pia alichaguliwa kua kiongozi mkubwa wa mziki congo, kwa kutumia mfano wa tanzania alichaguliwa kama kiongozi mkuu wa basata, pia anajulikana kwa solo zake nyingi tu mfano marioo, mamuu, zingine ameshirikiana na wasanii wengine hio ni nje ya bendiFranko Alikuwa kiongozi Mzuri lakini siyo mtunzi mzufri vile. Anapitwa mbali sana na Tabu Ley kwenye utunzi. TP OK Jazz ilitawala angala la muziki huo kwa vile Franko (kama Injinia Hersi) alikuwa anatengeza timu imara sana ya watunzi. Kwa mfano Simaro Massiya Lutumba, na Josky Kyambukuta waliibeba sana bendi ya TP Ok Jazz kwa tungo zao. Madilu System naye alileta mchango mkubwa sana. Nyimbo kumi bora za TP OK Jazzi hazikutungwa na Franck, bali zilitungwa na hao waimbaji niliowataja hapo.
Pamoja na lugha yako mbovu kwenye mjadala umeshindwa kutoa ushahidi wa kuonyesha kuwa Franco alikuwa mtu za mzuri sana; ni kweli alikuwa mtu za na mingapi solo laki tungo zinazokumbukwa sana TP OK jazz siyo tundu zake. Anzia mbali sana miaka ya sitini. Nyinbo zilizokuwa zilikuwa ni za watu kama Youlou, Sam Mangwana, Kyamangwa Mateta, na hao wengine Nilikutana mwanzoni. Mwaka 1971 walipoondoka na kwema kuanzisha bendi zao wenyewe, Franco alipumulia mashine kabla Simaro Massiya, Josky Kyambukuta, Mayaula Mayoni na Madilu System hawajarudisha Uhai kwenye bendi. Ni kipindi hicho alipoanza kutumia wainbaji wa kike, Nana Akumu, Jolie detta Yondo sister na wengineohuo ni uongo, Franco alikua mtunzi na mwimbaji mzuri infact alikua exceptional mpaka kwenye guitaa! Pia alichaguliwa kua kiongozi mkubwa wa mziki congo, kwa kutumia mfano wa tanzania alichaguliwa kama kiongozi mkuu wa basata, pia anajulikana kwa solo zake nyingi tu mfano marioo, mamuu, zingine ameshirikiana na wasanii wengine hio ni nje ya bendi
🤣 🤣 unajua rhumba aliianzisha nan?Pamoja na lugha yako mbovu kwenye mjadala umeshindwa kutoa ushahidi wa kuonyesha kuwa Franco alikuwa mtu za mzuri sana; ni kweli alikuwa mtu za na mingapi solo laki tungo zinazokumbukwa sana TP OK jazz siyo tundu zake. Anzia mbali sana miaka ya sitini. Nyinbo zilizokuwa zilikuwa ni za watu kama Youlou, Sam Mangwana, Kyamangwa Mateta, na hao wengine Nilikutana mwanzoni. Mwaka 1971 walipoondoka na kwema kuanzisha bendi zao wenyewe, Franco alipumulia mashine kabla Simaro Massiya, Josky Kyambukuta, Mayaula Mayoni na Madilu System hawajarudisha Uhai kwenye bendi
mziki wa rhumba ulianzishwa na kundi la OK JAZZ, wao ndo walimix vionjo flan vya cuba ukatoka mziki wa rhumba haukuepo kablaSwali kuliko hapa na Nani alitungs rumba Zuri. Zamani sana walikuwapo wanamuziki wengi sanawakipiga kwenye Kumbe za mbwa kwa mfano Dr Nico Kassanda kabla hat Franco hajapasua Ganda la yai lake
Samahani; hiyo post uliyokwoti niliiandika kwenye iphone, na hao jamaa wa iphone huwa wana tabia ya kubadilisha maneno ninayoandika kwa kiswahili. Nimeshairekebisha.mziki wa rhumba ulianzishwa na kundi la OK JAZZ, wao ndo walimix vionjo flan vya cuba ukatoka mziki wa rhumba haukuepo kabla