Duuh siwajuiwasanii hao si unaona nmeweka na majina yao
90s mwishoniwa 2000 sio?
Hao wote ni watoto wadogo kwa Franco. Franco amekuwa in charge of Rhumba kwa miaka mingi mpaka alipotunga wimbo wa kuzalilisha wanawake, Mobotu akamfunga. Alipotoka akapoteza nguvu lakini aliendelea kuwa influential. Wanamuziki wote wa Zaire walikuwa hawaruhusiwi kwenda kuimba nje ya nchi bila kupewa kibali na Franco.
Daah wewe unataka kusemajemarahabaa hujambo