Werrason, Ferre gola, Fally Ipupa

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,133
16,045
Kwenye swala la muziki ,wera namuelewa sana toka bcbg kitambo tu.

Wera yuko vizuri sana kwenye utunzi, pilika za jukwaani hawezi, nakumbuka bcbg adolph domingez na Emilia walikua wanamtoa jukwaani mapema tu.

Sasa yuko
Ferre, Le padre parazullia.

Huyu dogo alikua mbeba makoti ya Jibe Mpiana,chawa wa wenge bcbg ukipenda ita besebejee.

Sasa leo ni anaimba kuna live moja kaimba nyimbo zote za wakongwe.

Viktoria eleyson, Papa Wemba, Defao, Pepe kalle, Franco makiadi, Tabu ley, Sam Mangwana acha hizo za bcbg.
Na sebene linaendelea.

Werra siku hizi kapoa ila vijana wake wanaamsha sana.
Jibe yuko na wazee wake walewale hawataki kustaafu.

(usisahau wenge kinois)
Hao nao balaa
Fally huwa naona anatingisha matako tu hana jipya
 
Jb mpiana_jeanitte
Werason_blandine
Fere gola_court circuit
Fally ipupa_aime moi
Adolph domie_voyage
Koffi olomide_ikea
Felix wazekwa_cherlie
Defao_salanoki
Papa wemba_rail on
Madilu_ya jean
Franco_ngungi
Carlito_Makolo ya masiya
 
Back
Top Bottom