Dah miaka imeenda kipindi hicho bado vipanya vipo na daladala nyingi tu ambayo ndo ilikuwa terminal ya daladala, no mwendokasiView attachment 30762
tanesco hq
Dah miaka imeenda kipindi hicho bado vipanya vipo na daladala nyingi tu ambayo ndo ilikuwa terminal ya daladala, no mwendokasiView attachment 30762
tanesco hq
Wapinzani si walipiga kelele sana kwamba UDART ni ya lungumi?Kuna mambo serikali yetu inafanya, ni mambo ya ajabu sana, mimi jingo la Tanesco wala halinisumbui kwa sababu lilijengwa zamani, lakini miundombinu ya DART, imejengwa juzi juzi tuu tena kwa mabilioni, lakini yote itavunjwa, tofauti na jingo la Tanesco, ujenji huo utajenga upya njia za DART.
Paskali
kwa nini wasibomoe upande ilipo wizara ya maji?
Walioruhusu lijengwe si ndio hao hao na wanaobomoa ni haohao
Serikali iangalie upya jambo hili
Serikali ya wakati huu inaendeshwa kitoto sana.
Jengo na kiwanja ni mali ya Tanesco, Tanesco ni mali ya serikali, ajabu kubwa ni kwamba serikali ilijenga kwenye road reserve. Aibu tupu.
Pia kuna watu masikini wamevunjiwa nyumba zaoMagufuli Mvinyo anafuata Sheria liwe jengo la papa wa vatcan au papa kwa ufisadi
lipo kwenye road reserve cha kufanya ni sheria ifuate mkondo wake we unasema jengo la
fedha nyingi lisivinje utasema hata mtu mwenye fedha nyingi asifungwe !
Uthibitisho pls sio HABARI za mitaani .mtaja fungwa buleJengo ni la Rostam Aziz ndio maana Magufuli ana hamu sana ya kulibomoa
Unaishi KWA tetesi[emoji1]Tushawahi kupata tetesi,kua ni la mtu binafsi,ila hakutajwa jina
Yawezekana sababu na mitambo ile ya Richmond iko Jirani karibu.walijenga mitambo na jengo LA ofisi pianiliwahi kuambiwa ni la EL na RA but
wanaojua watatujuza vizuri zaidi.
Hufidiwi ukijenga kwenye road reservebasi livunjwe na wafidiwe si ndivo sheria inasema au??