Tupe detail zaidiniliwahi kuambiwa ni la EL na RA but
wanaojua watatujuza vizuri zaidi.
Tupe detail zaidiniliwahi kuambiwa ni la EL na RA but
wanaojua watatujuza vizuri zaidi.
Nasikia sio jengo la Tanesco ila ni la kibopa mmoja ndani ya CCM ambaye anaogopwa hata kutajwa, je huyu ni nani?
![]()
mmh!Bujibuji unaandika hivyo kwa sababu hauna meno na macho au?
Bby unafurahi unavyoona tunaposomeshwa # ehhEnzi za kusoma tu nakupita.. siku hizi awamu ya Magu nimoooooooo
Mbona makao makuu ya mwendokasi yamejengwa bondeni lakini bomoa bomoa haijapita.Suala sio umiliki bali limejengwa ndani ya road reserve
EDWARD LOWASATupe detail zaidi
FakeEDWARD LOWASA
ROSTAM AZIZ
ThibitishaEDWARD LOWASA
ROSTAM AZIZ
Kama Jengo ni mali ya TANESCO basi uamuzi wa kulibomoa uzingatiwe upya kwani kulibomoa ni sawa na kutumbukiza pesa kwenye choo cha shimo. Kwa hili wahusika wapunguze mihemko.Jengo la TANESCO Ubungo ni mali ya shirika la umeme nchini na halina ubia na mtu yeyote yule..
Inasemekana jengo hilo limeingia kwenye road reserveKama Jengo ni mali ya TANESCO basi uamuzi wa kulibomoa uzingatiwe upya kwani kulibomoa ni sawa na kutumbukiza pesa kwenye choo cha shimo. Kwa hili wahusika wapunguze mihemko.
Kwahiyo hiyo huyo mama Karume kajenga kwenye kiwanja cha Tanesco..??Mama karume, mke wa marehemu karume tanesco wamekodi tu
Walioruhusu lijengwe si ndio hao hao na wanaobomoa ni haohaoInasemekana jengo hilo limeingia kwenye road reserve
Ova
Syo serikali zetu hiziWalioruhusu lijengwe si ndio hao hao na wanaobomoa ni haohao
Serikali iangalie upya jambo hili
Hivi unajua sababu ya kwanini imeamriwa libomolewe kweli?Duh? Hata kama sio la serikali ndo ubomoe rasilimali ya pesa mingi ivo? Si bora kulitaifisha sasa kama wanataka kukomoana. Kuchukua maamuzi ya "tukose wote" ni utoto!
Jengo la lowasa hiloKama sio la serikali au Tanesco ni la nani? tunayo haki ya kufahamu.
Duh? Hata kama sio la serikali ndo ubomoe rasilimali ya pesa mingi ivo? Si bora kulitaifisha sasa kama wanataka kukomoana. Kuchukua maamuzi ya "tukose wote" ni utoto!
Ndugu yangu acha tuu, kuna mtu akikasirika kwa usumbufu wa nzi anaweza kumpiga kwa rungu wakati katua kichwani kwa mtoto ili amuue kabisa huyo nzi.Kama Jengo ni mali ya TANESCO basi uamuzi wa kulibomoa uzingatiwe upya kwani kulibomoa ni sawa na kutumbukiza pesa kwenye choo cha shimo. Kwa hili wahusika wapunguze mihemko.