Nani mmiliki wa jengo la TANESCO Ubungo?

hao ndo wanaolia lia foleni, ila itakapokuja uamuzi mgumu wa kuvunja watapinga... watanzania hawana msimamo kabisa!!!!!!!1


Kiwanja ni cha Tanesco hivyo Jengo ni la Tanesco hata kama mjenzi ni developer fulani!.

Jengo hili lilijengwa kwa mujibu wa sheria ya zamani. Sheria mpya ya road reserve imetungwa 2007 hivyo sehemu ya jengo hilo kuingizwa kwenye road reserve!.

Sababu ya kuvunjwa kwa jengo hilo ni kitoa fursa kujengwa kwa flyover pale Ubungo na sio kumkomoa yoyote!.

Majengo yote yaliyojengwa kwenye road reserve kabla ya 2007 yatafidiwa, hivyo hakuna ukomoaji wowote!.
 
Nasikia sio jengo la Tanesco ila ni la kibopa mmoja ndani ya CCM ambaye anaogopwa hata kutajwa, je huyu ni nani?

Tanesco-headquarters.jpg
 
Eneo lilipojengwa ni la Tanesco. Sasa sijui kama kuna mtu binafsi alikuja na kujenga eneo la serikali!
 
Back
Top Bottom