Nani mmiliki wa jengo la TANESCO Ubungo?

Nani mmiliki wa jengo la TANESCO Ubungo?

teh teh teh..! hilo jengo lilikuwa LA Lowassa,ila akawauzia Tanesco na hela yote alishavuta

sema uongozi wa juu wanaogopa kumwambia mkulu ukweli
 
Magufuli Mvinyo anafuata Sheria liwe jengo la papa wa vatcan au papa kwa ufisadi
lipo kwenye road reserve cha kufanya ni sheria ifuate mkondo wake we unasema jengo la
fedha nyingi lisivinje utasema hata mtu mwenye fedha nyingi asifungwe !

Wewe angefuata sheria DAB angekuwa kolomije
 
Ngoja tuone kwa sababu nilimsikia engineer mmoja akihojiwa radio one wa tanroads alijibu swali la mtangazaji kuwa vituo vyote vya DRT havitaguswa.
Anayeamua sio engineere bali mwanasiasa! Hapa ndo tatizo lilipo
 
Wakuu nawaona mnacheza ana ana do, mara la yule... , mara la huyu...,ngojeni lilale hapo chini tumuone atakayekuwa na uchungu zaidi ni nani
 
Naomba kuuliza,

Nani mmiliki wa jengo la Makao makuu ya Tanesco Ubungo?

Kama ni Tanesco wenyewe walipata wapi fedha ja kujenga jengo hilo wakati wanadaiwa kila upande?

Kama siyo wao, ni nani basi, tumwonee huruma?
 
Kiwanja ni cha Tanesco hivyo Jengo ni la Tanesco ila the developer sio Tanesco.

Jengo hili lilijengwa kwa mujibu wa sheria ya zamani. Kwa majibu wa Sheria zamani ya mwaka 1936, kweli jengo liko kwenye road reserve. Sheria mpya ya Ardhi 1999, ilifuta sheria ya 1936 na kupunguza road reserve, na ile ya 1936 ikaja kuchomekewa tena mwaka 2007 hivyo sehemu ya jengo hilo kuingizwa kwenye road reserve!.

Sababu ya kuvunjwa kwa jengo hilo ni kitoa fursa kujengwa kwa flyover pale Ubungo na sio kumkomoa yoyote!.

Majengo yote yaliyojengwa kwenye road reserve kabla ya 2007 yanapaswa kufidiwa, hivyo hakuna ukomoaji wowote!.
Update
Kama Hii Ndio Situation ya Bomoa Bomoa ya Ubungo na Kimara Bila Fidia, Then Faraja Pekee ni Kuwa, Watafidiwa Tuu!.

Paskali
Asante kwa ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom