Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,972
- 168,935
Hamna yumani fesi kwenye hilo jengo!!!
kizivunja*Serikali ya Tanzania inajua kutunga sheria sio kuzifuata!!!!
Sasa kwanini wanalipa kodi ya pango kila mwezi?Ni jengo la Tanesco, acha kusikiliza kelele za mbwa mkuu.
Tanesco analimiliki 100%. Kiwanja chake, jengo lake na miundombinu yote iliyoko pale ni yake.
Majengo yaliyojengwa kabla ya 2007 amesema yatalipwa fidia, ndicho nilichoelewa, including hilo la TanescoMkuu umemuelewa lkn paskal? fly over ndo inahitaji hiyo nafasi pia na ni kwa mujibu wa sheria ya 2007.
Wanalipa kwa nani?Sasa kwanini wanalipa kodi ya pango kila mwezi?
Bidada naona km unabadilika taratibuEnzi za kusoma tu nakupita.. siku hizi awamu ya Magu nimoooooooo
Mwenye nchi !y alivunje yeye km nani
Jengo ambalo Makao Makuu ya iliyokuwa Wizara ya Nishati na Madini walikuwa wanalitumia ni mali ya TANESCO. Kwa vile Wizara zote zitahamia Dodoma, TANESCO haina tatizo la majengo ya kutumia.Yaani siku zote hizi tanesco wanamlipa mtu kodi ya pango ya mjengo kama huo.., hawajaweza tu kujenga lao.., huu ni wizi wa ki-mbwa kabisa..!!
Kweli kabisa.Hili jengo ni mali ya Tanesco. Wamelijenga kwa fedha zao enzi za Mkurugenzi Mtendaji Simon Mhavile (RIP) Lilijengwa maalum kwa ajili ya kitengo cha Uzalishaji kwa vile mitambo ya uzalishaji kwa gesi na dizeli ilikuwa pale. Baadaye Wizara ya Nishati ikakodisha jengo la Tanesco la zamani lilillopo samora avenue ambapo ndipo ilipo wizara sasa na Tanesco wakaamriwa wahamie jengo la Ubungo. Habari ndio hiyo kwa kifupi.
Kumbe flyover ni plan na pesa ni za enzi za kikwete! Kumbe huyu plan yake ni chato international eapot tu!Kiwanja ni cha Tanesco hivyo Jengo ni la Tanesco hata kama mjenzi ni developer fulani!.
Jengo hili lilijengwa kwa mujibu wa sheria ya zamani. Sheria mpya ya road reserve imetungwa 2007 hivyo sehemu ya jengo hilo kuingizwa kwenye road reserve!.
Sababu ya kuvunjwa kwa jengo hilo ni kitoa fursa kujengwa kwa flyover pale Ubungo na sio kumkomoa yoyote!.
Majengo yote yaliyojengwa kwenye road reserve kabla ya 2007 yatafidiwa, hivyo hakuna ukomoaji wowote!.
Hakuna kuangalia upya option ni kulivunja ,maalfu ya watu wapate shida jengo moja ,.option ni hio jengo lipo uchi kabisa ,Walioruhusu lijengwe si ndio hao hao na wanaobomoa ni haohao
Serikali iangalie upya jambo hili