Mkuu kabla ya kuja hapa ungemuomba hata Dr Shika akusaidie kumjua mmiliki wa hayo majengo badala ya kutuletea fununu!!Habari wanajamii:
Bila shaka kila mtu anahabari kuwa Jengo la Tanesco lililopo maeneo ya Ubungo linavujwa na upande wa uzio wake umeshavunjwa mpaka sasa.
Ifahamike kuwa mpango wa kulivunja ni kutokana na kinachodaiwa kuwa jengo hilo lipo kwenye wrong site. Yaani lipo kwenye Hifadhi ya Barabara. Hivo basi haina budi lazina libomolewe kupisha miundombinu ya Barabara.
Hii imetiliwa mkazo na Mh. Rais wetu ambae alibainisha kubomolewa kwake.
Habari za hapa mjini na mitaani zinasema kuwa mmiliki wa jengo hilo ni Mh. Lowassa. Kuwa Lowasa ndo mwenye Mjengo ule na Tanesco Walilikodisha tu kwa kipindi chote hicho waloluw wakilitumia.
Je taarifa hizi ni zaukweli?
Watu wepesi kuamini tunaweza tukaamini kutokana na hali kwamba wizara au ofisi nyingi za Serikali ziko kwenye majengo ya watu binafsi. kwamba Serikali imepangisha majengo hayo.
Swali lingine la kiumakini: Je kama ni la Mh. Lowassa ni kwamba ndo mambo yale yale ya kuwakomoa na kuwafirisi walohamia uponzani?
Lakini tukiwa tunajiuliza swali hilo hilo tijikumbushe kuwa mkakati wa kulibomoa uloanza toka awamu ya Nne. Na ni Mh. Raisi huyu huyu akiwa Waziri wa ujenzi alikuwa na dhamira ya kulivunja dhamira ilofifia baada ya katazo toka kwa mabosi wake. Je hapo kumekaaje?
Je ni kweli Mh. Lowassa ndo mmiliki wa mjengo ule ?
Habari wanajamii:

Tusubiri. Time will tell mkuuJengo ni la tanesco walijengewa na NHC kwa mkopo
Ni kweli yeye ni rais na hakuna mtu aneyeweza kumzuia anayotaka hata sheria haiwezi. Ila Mungu tuNi sababu zipi zilizopelekea uongozi wa awamu ya nne ulimkataza asivunje lile jengo?jee kwa sasa sababu hizo hazina mashiko tena?nilimsikia Mkulu akisema kuwa kwa sasa yeye ndiyo Rais hakuna wa kumkataza tena
Angalao najua vizuri historia ya jengo hilo. Kifupi ni mali ya uma na lilijengwa na shrika la uma. Ni bahati mbaya sana sasa hivi vichaa wengi wameshika usukani tutegemee kuona na kusikia mengi kutoka kwaoHabari wanajamii:
Bila shaka kila mtu anahabari kuwa Jengo la Tanesco lililopo maeneo ya Ubungo linavujwa na upande wa uzio wake umeshavunjwa mpaka sasa.
Ifahamike kuwa mpango wa kulivunja ni kutokana na kinachodaiwa kuwa jengo hilo lipo kwenye wrong site. Yaani lipo kwenye Hifadhi ya Barabara. Hivo basi haina budi lazina libomolewe kupisha miundombinu ya Barabara.
Hii imetiliwa mkazo na Mh. Rais wetu ambae alibainisha kubomolewa kwake.
Habari za hapa mjini na mitaani zinasema kuwa mmiliki wa jengo hilo ni Mh. Lowassa. Kuwa Lowasa ndo mwenye Mjengo ule na Tanesco Walilikodisha tu kwa kipindi chote hicho waloluw wakilitumia.
Je taarifa hizi ni zaukweli?
Watu wepesi kuamini tunaweza tukaamini kutokana na hali kwamba wizara au ofisi nyingi za Serikali ziko kwenye majengo ya watu binafsi. kwamba Serikali imepangisha majengo hayo.
Swali lingine la kiumakini: Je kama ni la Mh. Lowassa ni kwamba ndo mambo yale yale ya kuwakomoa na kuwafirisi walohamia uponzani?
Lakini tukiwa tunajiuliza swali hilo hilo tijikumbushe kuwa mkakati wa kulibomoa uloanza toka awamu ya Nne. Na ni Mh. Raisi huyu huyu akiwa Waziri wa ujenzi alikuwa na dhamira ya kulivunja dhamira ilofifia baada ya katazo toka kwa mabosi wake. Je hapo kumekaaje?
Je ni kweli Mh. Lowassa ndo mmiliki wa mjengo ule ?
Binafsi nimekuelewa. Maana hata mimi niliwahi kusikia kuwa ni la mheshimiwa mamvi nikajua tu hapa ni siasa inafanyika kukomoanaKiwanja ni cha Tanesco hivyo Jengo ni la Tanesco ila the developer ni PPF.
Jengo hili lilijengwa kwa mujibu wa sheria ya zamani. Kwa majibu wa Sheria zamani ya mwaka 1936, kweli jengo liko kwenye road reserve. Sheria mpya ya Ardhi 1999, ilifuta sheria ya 1936 na kupunguza road reserve, na ile ya 1936 ikaja kuchomekewa tena mwaka 2007 hivyo sehemu ya jengo hilo kuingizwa kwenye road reserve!.
Sababu ya kuvunjwa kwa jengo hilo ni kitoa fursa kujengwa kwa flyover pale Ubungo na sio kumkomoa yoyote!.
Majengo yote yaliyojengwa kwenye road reserve kabla ya 2007 yanapaswa kufidiwa, hivyo hakuna ukomoaji wowote!.
Update
Kama Hii Ndio Situation ya Bomoa Bomoa ya Ubungo na Kimara Bila Fidia, Then Faraja Pekee ni Kuwa, Watafidiwa Tuu!.
Paskali
Duh? Hata kama sio la serikali ndo ubomoe rasilimali ya pesa mingi ivo? Si bora kulitaifisha sasa kama wanataka kukomoana. Kuchukua maamuzi ya "tukose wote" ni utoto!
Hili jengo litakuwa limekosa mwenyewe ndio maana linavunjwa, hivi kweli wabongo walivyo mashushushu wameshindwa kujua mmiliki wa jengo!? Kama magari wanajua, viwanja wanavijua, sasa inakuaje tumkose mmiliki wa jengo la walikopanga tanesco?Habari wanajamii:
Bila shaka kila mtu anahabari kuwa Jengo la Tanesco lililopo maeneo ya Ubungo linavujwa na upande wa uzio wake umeshavunjwa mpaka sasa.
Ifahamike kuwa mpango wa kulivunja ni kutokana na kinachodaiwa kuwa jengo hilo lipo kwenye wrong site. Yaani lipo kwenye Hifadhi ya Barabara. Hivo basi haina budi lazina libomolewe kupisha miundombinu ya Barabara.
Hii imetiliwa mkazo na Mh. Rais wetu ambae alibainisha kubomolewa kwake.
Habari za hapa mjini na mitaani zinasema kuwa mmiliki wa jengo hilo ni Mh. Lowassa. Kuwa Lowasa ndo mwenye Mjengo ule na Tanesco Walilikodisha tu kwa kipindi chote hicho waloluw wakilitumia.
Je taarifa hizi ni zaukweli?
Watu wepesi kuamini tunaweza tukaamini kutokana na hali kwamba wizara au ofisi nyingi za Serikali ziko kwenye majengo ya watu binafsi. kwamba Serikali imepangisha majengo hayo.
Swali lingine la kiumakini: Je kama ni la Mh. Lowassa ni kwamba ndo mambo yale yale ya kuwakomoa na kuwafirisi walohamia uponzani?
Lakini tukiwa tunajiuliza swali hilo hilo tijikumbushe kuwa mkakati wa kulibomoa uloanza toka awamu ya Nne. Na ni Mh. Raisi huyu huyu akiwa Waziri wa ujenzi alikuwa na dhamira ya kulivunja dhamira ilofifia baada ya katazo toka kwa mabosi wake. Je hapo kumekaaje?
Je ni kweli Mh. Lowassa ndo mmiliki wa mjengo ule ?
Mkuu, unaweza kuwa na kumbukumbu ya mwaka ujenzi ulipoanza?!Angalao najua vizuri historia ya jengo hilo. Kifupi ni mali ya uma na lilijengwa na shrika la uma. Ni bahati mbaya sana sasa hivi vichaa wengi wameshika usukani tutegemee kuona na kusikia mengi kutoka kwao