Paschal Mayala msukuma mwandishi wa habari toka mika ile yupo redio Tanzania leo inaitwa TBC,napata shaka kama unaongelea Tanzania au upo burundi,nimesema hayo jinsi ulipokuwa unaendesha kipindi cha kiti moto watu wengi warilidhika na welendi mkubwa wa kiuandishi hojaji,hivyo kuwa mwandishi mahiri.lakini kwa hili nadhani umejibu hpja kiushabiki,
Mm nitasemea kuanzia maeneo mengine walikovunjiwa kwa aheria hii mpya,je kama ni kuzingatia hoja kuwa mia ya 2007 wakati sheria hiyo mpya wengine nao wanahitaji fidia ,je umesikia kuna tathmini ya fidia hiyo?je hujawahi sikia watu waliweka zuio makamani kupinga utekelezwaj] wa sheri mpya na kama itatekelezwa watu wapewe.fidia.Je hujasikia.pamoja na kuwq na zuio.nyumba ziliendelea kubomoleqa bila kujali?je rais alipokwenda Mwanza alitoa tamko gani kwa wahanga watarajiwa wa bomoabomoa?hapa labda fidia itakuwepo kwa Tanesco na si watu wengine kama mambo yalivyo kidouble standard kwa akina mayala hapana kwa wwngine wachaga wa kimara ,bomoa hata kama kuna zuio la mahakama