ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,759
- 7,331
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Gitaa la Diblo Dibala ' Le Grand Mitre du Soloiste ' hata Mtoto mchanga aliyezaliwa leo akilisikia atatikisa Kichwa na kutabasamu ILA Gitaa la Dally Kimoko ' Gitare Ezanga Likwanza ' Binadamu, Wanyama, Ndege wote wa mtini mpaka Malaika wa Mbinguni watalicheza na kulifurahia.