AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,113
Thanks Asha kwenye hii useful post.
Hapo kwenye red.........Haimpasi baba kupewa heshima hiyo ya NANI KAMA BABA?
Asprinn hapo kwenye red in kweli panampa haki kusema nani kama baba, tatizo linakuja katika maybe baba 10 labda wawili ndo wanafanya wajibu wao, but watoto hao kumi wote watakua salama ili mradi mama awakuze na waweze kujitegemea... In other words ni kua baba ni muhimu saana but si lazima... Hata kiutafiti imeoneshwa kua kuna tofauti kati ya mtoto alolelewa kwa mapenzi mama kuliko asie lelewa na mapenzi ya mama.