Nani kama Mama Vs Nani kama Baba

Nani kama Mama Vs Nani kama Baba

Oryt oryt

sasa unanichanganya

Halafu mbona black woman hapo chini hasemi neno?!:bange:

Hiyo inaitwa name calling....Siyo Black woman, ni blaki womani......ndo matatizo ya kusoma shule za St. Mtakatifu intaneshno Academy limited.

Nini kama name calling?.......ban?:bange:
 
Nani kama Aspro,nani kama babu mkaguzi,babu mewata,Big braza ODM! Hakuna kama yeye ingawa siku hizi hatoi chakula ya moyo,,lol

Hehehehe...chakula ya moyo siku hizi imeamia kwenye LIKE

Nini kama like?
 
DAH.. NIMEKWEPA SANA HII THREAD, LAKINI MH.............

Hakuna kama baba na hakuna kama mama... hiyo ndio sababu waweza sikia kwamba yule ni mtoto wake, au yule si baba yake!!! haya ya nani kama XXXX yanaletwa na jamii fulani kuhalalisha yale ya kitanda hakizai haramu, sisi tukifanya ni kutafuta fulfilment of what we are missing while other wao wanafanya for fun etc

Its all up in the air and utaipata vizuri sana kwenye chapter ya kwanza kabisa ya kitabu cha kwanza cha neno la mungu
 
And thats it, pal! BINGO!

..... Super darling!!!
 
Kila mmoja ana umuhimu ndiyo maana Mungu akaona wote wafaa kuwepo,na bila mama function ya baba haipo vile vile bila baba function ya mama haipo hivyo hakuna kama MAMA na hakuna kama BABA
 
And thats it, pal! BINGO!

..... Super darling!!!
mate tena kama unakumbuka vizuri, yule nyoka alijua kabisa desire na weakness na dnio maana alisema ukitaka kufananana na XXXXX basi fanya ------, and that is where fulfilment issue started!!!!!!!!! and it can be supported by the fact that jamaa alikua kitaa anatafuta matunda mazuri na mizizi alete watu waje wapate menu

..... No, i didnt say that, did i??
 
No you didn't.....but it is said.
 
Kila mmoja ana umuhimu ndiyo maana Mungu akaona wote wafaa kuwepo,na bila mama function ya baba haipo vile vile bila baba function ya mama haipo hivyo hakuna kama MAMA na hakuna kama BABA

Kweli mkuu, tatizo hawa kina mama hawataki kuukubali huu ukweli.
 
Umuhimu upo kwa wote ila mama zaidi!!

Shkamoo babu!
It is because of this mentality ndio maana nilikwepa hii sredi....

ODM, see you in another thread, I am out mkuu hili shindano halina refa, linesman wala kamisaa:A S-baby:
 
It is because of this mentality ndio maana nilikwepa hii sredi....

ODM, see you in another thread, I am out mkuu hili shindano halina refa, linesman wala kamisaa:A S-baby:

Hahaha...mate, hawa mabinti bana......

Hii nani kama mama nadhani ndo silaha yao kuu ya kupambana na mfumo dume.........hamna kitu kabisa.

Watazunguka weeee, mwishowe watajua tu baba ni baba na hakuna wa kulinganishwa naye.

Ndio maana hata Mungu tunamwita "BABA"!
 
Kuamka mapema hii yote?Bado kabisa babu!!

HAMNA KAMA LIZZY...HAMNA KAMA BABU ASPRINI dawa isiyochungu ila inatuliza!!!

Hebu rudia tena kwa sauti tafazali.
 
Ukichukulia huo msemo literary kua hakuna kama mama na hivyo baba ana umuhimu utakua unakosea njia... Ni kwanini inasemekana hakuna kama mama?

Mama ni kiumbe ambae katika viumbe woote tunamchukulia sana for granted. Huyu mama ndo kakubeba wewe tumboni kwako (hebu naomba u pause kidogo na tafakari hili suala - kua the whole of you, mwili wako huo wote ulitoka ndani ya tumbo lake). Mama ni Mwalimu, rafiki, dakitari, mtabiri, mpenzi wa kweli, dereva na vitu vingine viingi ambavyo naamini hata wewe pia unaelewa. Asprin niseme nini hapa... Nani kama mama ??? Mama anaamini wewe ndo wewe no matter your weakness (sometimes anapalilia hata hizo weakness), Mama anakuambia mwanangu Aprin mimi nakupenda na as long as am still there you will always be safe, sitakubali dunia ikusumbue... Niambie mwanangu; unasema unahitaji niwaongeze wewe na mkeo mtaji - usijali nitaongea na baba....

Baba on the other hand ni nguza yako ya kuegemea, ni jeshi lako la kukimbilia iwapo kuna wasi wasi wowote wa mashambulizi, ni mtu akuoneshae kua hii dunia you can overcome anything ukitumia nguvu, determination, focus na akili. Ni mtu ambae anakusimamie but ikifika wakati wa wewe kusimama anakujulisha kua nawe sasa ni ngazi, anakwambia kabisa kama wewe huna hivi huna nafasi katika hii dunia hivyo jiandae kua defeated - na anakujulisha kua kama utashindwa kua mwanajeshi katika mambo yote yakuzungukayo na kukusumbua basi mi sio commander wako...

Ni wachache saana wamepata bahati ya kupata committed Fathers hata kama wamelelewa nao, but kwa wale woote walojaliwa kulelewa na mama zao ilikua ni rahisi kupata a committed mom though ndio kuna exceptions..

Thanx Asha..umedadavua kwa kina..
 
Kwa jina la mama, na la mwana na roho mtakatifu amen!!
 
Kweli mkuu, tatizo hawa kina mama hawataki kuukubali huu ukweli.

Wataukubali taratibu tu kiongozi,unajua hii hakuna kama mama ilijengeka sana kwenye jamii yetu ndiyo maana baba akaonekana kumbe yeye ni less important na substitute yake inaweza kuwepo!twende nao taratibu mpwa watatuelewa
 
It is because of this mentality ndio maana nilikwepa hii sredi....

ODM, see you in another thread, I am out mkuu hili shindano halina refa, linesman wala kamisaa:A S-baby:

Hiyo mentality ililetwa na nini kama sio reality??Tukubali tu kwamba kwenye familia ya kawaida yenye mama na baba mama ndo anaongoza kwa mengi!Mama akichelewa kuamka kuna nafasi kubwa ya watoto kuchelewa shule tofauti na baba maana wengi wao hata hawajui watoto wanaendaga shule saa ngapi!!Baba anafanya kazi na kuleta mshahara nyumbani ila muda anaotumia na watoto wake unahesabika...mama nae anaenda kazini akirudi anafanya za nyumbani na bado kiasi kikubwa cha malezi kinamhusu yeye!In most families haya ndo maisha japo kuna zile chache ambazo wazazi wote wanashughulika na watoto equally!!Nimekua kwenye aina zote mbili kwahiyo naujua umuhimu wa baba ila MAMA COMES FIRST!
 
Back
Top Bottom