Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
- Thread starter
- #261
Nisaidie kumwambia hata sijamuelewaKuna watu washajichokea, hata ukimwambia hatakuelewa,
Nisaidie kumwambia hata sijamuelewaKuna watu washajichokea, hata ukimwambia hatakuelewa,
Duh aiseeeeeeee lazima nikuoteAsante kaka ,asante kwa kupenda nifurahi,,mmmmmmwaaaaaahhhhh niote
Sio kidogoMama sabrina Una vituko duh
Ova
Ruksa babaDuh aiseeeeeeee lazima nikuote
Utakosaje kunipenda kwa mfano.Ndio mana nakupenda
Mimi sikuwezi Mama sabrina maana Una manjoinjo balaaa vp uko dar au tanga?Sio kidogo
MmhUsijali we tokea tu mi sio wa hivyo
Very smart man
Ninavyojipigia debe sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio hapo sasaUtakosaje kunipenda kwa mfano.
Wanakupenda kimyakimya waache wale kwa macho wakati kuna mtu tayari anashibishwa live[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shangaa Islam yaan nashangaa halaf nawakera lakin bado wakiona nyuzi zangu haooo mbiooo kuja kusoma na kukereka si waache
Waseme sasa tu eti wasife nayo moyoniWanakupenda kimyakimya waache wale kwa macho wakati kuna mtu tayari anashibishwa live[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utawaambia nini maShitholes dear? [emoji23] [emoji23] [emoji23] bila ya kufuatilia wanaowakera kwa siku haziendi kabisa [emoji40]Yaani mtu aandike vinavyomfurahisha wengine wanune chaaaah!!
Kama mtu anakuudhi wewe muignore au usifungue nyuzi zake.
Cc.Nyani NgabuNyani
Dogo bado tu hujarudi shule? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo avata ndo wewe? Nimevutiwa na urembooo wako tuchepuke walao Mara 1 basi?
Wameshindwa kushindana nawe hivyo ndio wanaungana nawe, endelea kuwapenda tu wanakukubali mnomno [emoji28] [emoji28] [emoji28]Waseme sasa tu eti wasife nayo moyoni
Mikoani hakuna wanaume nn? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanaume wa dar es salaam