Nani huyu jamani

Nani huyu jamani

Hivi kwa ninii mnapovukwa sasa akusifie wewe anakujua na avatar lako linatisha jaman wivu ni kidonda kila mtu ana uhuru wa kufanya anachojisikia kikubwa havunji sheria za jf mwenyewe najiandaa kuleta thread langu la kumzimikia mtu pamoja na uzee wangu kama nawaona mtakavyosonya huku mnasoma
 
Back
Top Bottom