Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
- Thread starter
- #21
Njoo ule hadi dinnerNije kula lunch
Njoo ule hadi dinnerNije kula lunch
Panga mstari utapata farharuMie nataka ntaipataje?
Lkn si bure?Panga mstari utapata farharu
Yaan Kelvin halaf ni wa kwanza kuja kunisoma raha kweli,,hili jukwaa la photo walitaka nirushe picha zao,Jf hakuna Uhuru tena inawezekana member akatufurahisha members wote kama kitu hujakipenda unakausha kimtindo
Siuzi na sitoi bureLkn si bure?
Utatoa tu..Siuzi na sitoi bure
Huyo hakupendi ila anaonekana kama anataka chololoo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unanipenda wewe
Ndio maana anaboreka mimi kumrusha Docta Ulimwengu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo hakupendi ila anaonekana kama anataka chololoo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi umecheka eee,,watu wanachekesha sana na docta ntamrusha sana humu tu ndio wajiandae kama wanamfikia docta wanipe picha zao nirushe kama hata hawafanani waache ,yaan mtu anaudhika anavimba anatukana utafikiri mi mkewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].siku nikionana na docta hizo picha watalia wanaobweka wallah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mtu aandike vinavyomfurahisha wengine wanune chaaaah!!
Kama mtu anakuudhi wewe muignore au usifungue nyuzi zake.
Ana chura?Nije kula lunch
Mamaa Sabrina tupia picha kwa raha zako watu kama hao unapita kama hujawaona kama wana chuki wavae miwani wasione gereYaan Kelvin halaf ni wa kwanza kuja kunisoma raha kweli,,hili jukwaa la photo walitaka nirushe picha zao,
Halaf mi siwezi kuwafurahisha nafurahisha moyo wangu
Tatizo ni kuwa hapa jf baadhi yao hawapendi kama hivi namsifia docta aaargh basi ntaanza wasifia na wao
Na ntawakera sanaaa
Ivuga nawe unakereka eti?Ana chura?
Mbona tu akitukana anakamatwa.Yaani mtu aandike vinavyomfurahisha wengine wanune chaaaah!!
Kama mtu anakuudhi wewe muignore au usifungue nyuzi zake.
Agiza kandoro ya baridiiiii nakupm hela ya kulipaYaani mtu aandike vinavyomfurahisha wengine wanune chaaaah!!
Kama mtu anakuudhi wewe muignore au usifungue nyuzi zake.
Mimi sikereki hata kidogo.Ivuga nawe unakereka eti?
Yaan mtu akiona anajua wana wivu kabisa na usiku ntarusha ya kulalia kama wanakufa wafeMamaa Sabrina tupia picha kwa raha zako watu kama hao unapita kama hujawaona kama wana chuki wavae miwani wasione gere
[emoji41] [emoji41] [emoji41]