Nani huyu jamani

Nani huyu jamani

Hiyo avata ndo wewe? Nimevutiwa na urembooo wako tuchepuke walao Mara 1 basi?
 
Mbona tu akitukana anakamatwa.
Kiufupi unachokitoa lazima kina effecet kwenye hadhra . Kiwe kizuri ama kibaya.
Ila huyu mama yaliyomo yamooo?
Si mumuignore kama anawakera.
Si umuulize mwenyewe, au unamwogopa?
 
Shangaa Islam yaan nashangaa halaf nawakera lakin bado wakiona nyuzi zangu haooo mbiooo kuja kusoma na kukereka si waache
Sabrina hivi wewe ni mwanamke/msichana, maana humu unaweza kuta unatreat mtu kama jike kumbe dume.... nimekupenda bure maana huna hasira! wanakujibu vibaya unacheka! hongera. Nitakutafuta inbox!
 
Dah...JF raha sana.....hivi January inaisha lini? Tutazimiss sana nyuzi kama hizi...[emoji13]
 
Hee wadau wanakereka na nini sasa?? Itakua wana sura chachu hao[emoji12] [emoji12]

Ukipata muda tupia na nyingine kesho mama Saby
Kweli kabisa, mbona wao huwa wanatupia picha za wanawake wakali sie hatujanuna jamani!!
Sasa mtu kutupia picha wanakereka!! Au wana interest zao hivyo inawauma!!!
 
Kweli kabisa, mbona wao huwa wanatupia picha za wanawake wakali sie hatujanuna jamani!!
Sasa mtu kutupia picha wanakereka!! Au wana interest zao hivyo inawauma!!!
Itakua wanamtaka mama Saby! Ko anavyompost Dr wanaloose hope[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mimi sikereki hata kidogo.
Thread zinazonikera wala hata sizifunguagi.
Mimi ni fisi nipo nyuma nyuma nasuburi udondoshe chochote niokote nile
Eti nifisii jana kule hukutajwa wewe akaishi Daby tu ulitakiwa wewe bana
 
Hee wadau wanakereka na nini sasa?? Itakua wana sura chachu hao[emoji12] [emoji12]

Ukipata muda tupia na nyingine kesho mama Saby
Ahahahahahaha Swank jioni ntatupia yaa kulalia na dawa iingie zaidiii na zaidii
Sura chachu sikuwapa mie bana
 
Back
Top Bottom