Nani huyu jamani

Nani huyu jamani

Kwa kweli mchizi mzr akikutana na wenye sura ngumu hakuka hatoki [emoji108]
 
Wameshindwa kushindana nawe hivyo ndio wanaungana nawe, endelea kuwapenda tu wanakukubali mnomno [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Jioni uje chit chat kuna picha ya mwanajf kaona hataki kuzidiwa na docta
 
Hivi kwa ninii mnapovukwa sasa akusifie wewe anakujua na avatar lako linatisha jaman wivu ni kidonda kila mtu ana uhuru wa kufanya anachojisikia kikubwa havunji sheria za jf mwenyewe najiandaa kuleta thread langu la kumzimikia mtu pamoja na uzee wangu kama nawaona mtakavyosonya huku mnasoma
[emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Mama Sabrina mbona unaonekana kama limbukeni na unashoboka nhuyu mariooo!!! Utadhani umebikiriwa juzi!!! Kumbe Gwiji mtoaji!!!
Au umetumwa umfanyie promo huyu marioo hapa JF!!! Acha utoto; unajishushia heshima hata kama hatukujui physically!! Tangu juzi umekomaa na promo ya huyu marioo!!!
Stupid!!
i have no other words than this SALUTE.....you make me proud
 
Back
Top Bottom