nbayoungboy never broken
JF-Expert Member
- Apr 20, 2025
- 383
- 365
Maisha magumu selikali haieleweki ovyo hiz nchi zigine
Pombe zilivyo nyingi mpka hali hiyo ikutokee utakuta wewe ni mbwiga sanaPoleni wote inaowatokea 😌
Nilishaipitia zamani kabla sijajipata!
Wewe wa kuniita mimi Mbwiga 🤣🤣Pombe zilivyo nyingi mpka hali hiyo ikutokee utakuta wewe ni mbwiga sana
Sio wewe madam ni hao wenye stressWewe wa kuniita mimi Mbwiga 🤣🤣
Aanhaa bahati yako 🤣🤣Sio wewe madam ni hao wenye stress
Haujaelewa umekurupuka na wewe una stress 😅😅Aanhaa bahati yako 🤣🤣
Sijakurupuka si nimeona umequote reply yangu, nikashangaa.Haujaelewa umekurupuka na wewe una stress 😅😅
Nimekumis pia , nilikua napika pombe ya weekend asee.Sijakurupuka si nimeona umequote reply yangu, nikashangaa.
Anyway, nimekumisooooo, umepotelea wapi?
Tunainywea wapi sasa, mbona huleti mualiko?Nimekumis pia , nilikua napika pombe ya weekend asee.
Mimi nakunywa chumbani , ingia chumbani tukanywe😊Tunainywea wapi sasa, mbona huleti mualiko?
Ninunulie jibapa nijitundike 😁Pombe zilivyo nyingi mpka hali hiyo ikutokee utakuta wewe ni mbwiga sana
Tajiri wewe ndio nakutegemea tajiri😅😅Ninunulie jibapa nijitundike 😁
Napenda kunywea nje kwenye ka upepo.Mimi nakunywa chumbani , ingia chumbani tukanywe😊
Dah Weekend yangu ndio inaanza kama hivi leo lazima nilewe 😅Napenda kunywea nje kwenye ka upepo.
Maana chumbani nina mambo yangu napenda kuyafanya, tukiingia huko pombe tutazisahau.
- Hakika hii ndio maana halisi ya Wagumu Tunadumu , Na wala usiwe na wazo la kuikimbia Familia.Ila kwasasa nilishaapa staweza tena kurudia kujitoa uhai,ni bora nikimbie familia
Kula raha, kufa kwaja 😅Dah Weekend yangu ndio inaanza kama hivi leo lazima nilewe 😅
Kufa pia ni raha tupu😊😊Kula raha, kufa kwaja 😅
Raha za kifo sizijui, acha nile hizi za uhai mpaka pale utakapokatika 😅 halafu mengine yatajulikana mbele kwa mbele.Kufa pia ni raha tupu😊😊