Nani huwa inamkuta hii?

Nani huwa inamkuta hii?

Marmeid

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2024
Posts
523
Reaction score
1,205
Kuna mda ukikaa unajikuta kama umepoteza mwelekeo,, unapoteza interest ya vitu alafu unajikuta huelewi maisha ako yanaendaje 😞
e1b8f9b321390e5d689951f0c36d937a.jpg
 
Inatokea kwa wengi wetu, mimi mmojawapo, wenye moyo usio na subira huwa wanajiondoa uhai ila kama unapitia magumu acha yaje yatakuacha na uzoefu
Haya mambo yaliwah nitokea zaman nikaamua nijitoe uhai ila sikufa mpaka leo huwa nashangaa ilikuwaje nikapona

Baadae nikapata mambo yakaenda vzur sana lakin sahv hali imerudi tena

Hilo pozi la huyo alieketi ni mimi kabisa nikiwa nimemaliza kula na hapo ukute mke yupo pemben ananipa malalamish mara sjanunua hiki mara kile

Ila kwasasa nilishaapa staweza tena kurudia kujitoa uhai,ni bora nikimbie familia
 
Back
Top Bottom