Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
- Thread starter
-
- #541
mkuu Ruhazwe JR mimi natoa zawadi ya kuwa patia muda wa maongezi wa dakika 10 kwa washindi watatu wakwanza..
hata tulioshiriki jamani, tupatamo na kafedha kidogo, tutoe. miehela yote hiyo ya udhamini.
tunafikilia kuwapa kifuta jasho kwa wale watako kuwa wa mwisho...lakin hawajajulina kwakua bado mapema
utaratibu wa kuwa mdhamini ukoje? au hampokei tena wadhamini
utaratibu wa kuwa mdhamini ukoje? au hampokei tena wadhamini
Mkuu Ruhazwe JR hebu kuja pande hii umpeane maelekezo stahili!!!
hata tulioshiriki jamani, tupatamo na kafedha kidogo, tutoe. miehela yote hiyo ya udhamini.
mkuu Ruhazwe JR mimi natoa zawadi ya kuwa patia muda wa maongezi wa dakika 10 kwa washindi watatu wakwanza..
Next time mkuu... Ila usisahau kura yako kuiacha kwa charminglady!!!
Mmm jaman mimi tena? nshakupa kwa kishindo tangu lini cjui pale watu8 ndio mwenyeji wangu kwaiyo aliomba nkupe nami nawashawishi wadau wawili kizaizai na stevelwa wakupe, hope utashinda kwa kishindo!
hii poll ina faida yake na hasara yake!
hasara yake - fake id zinazopiga kura hazionekani, zinajipigia kura tena na tena!
faida yake? - sijui
Invisible na Ruhazwe JR kama mnaweza identify kura za fake id zilizojiunga 21st december na kuendelea then kuondoa kura zao fanyeni hivyo ili mshindi apatikane kihalalli.
mmm! wewe miss mshirik ni mtundu sana badala ukae kwenye chumba mlichofungiwa unakuja had ofsn kwangu,..rudi ndan
haya mahela hayawezi kupita hivi hivi. yoyote atakaye shinda ahakikishe napata vocha ya tigo
copy kwa charminglady, Arabela, Madame B nk. mia
Mmm jaman mimi tena? nshakupa kwa kishindo tangu lini cjui pale watu8 ndio mwenyeji wangu kwaiyo aliomba nkupe nami nawashawishi wadau wawili kizaizai na stevelwa wakupe, hope utashinda kwa kishindo!
Mkuu kama unatumia zantel poa... Lakini tiGO hupati ng'o make me sio mtumiaji wa tiGO!!! :becky: