mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
hamna sio wote wanajua kupenda wengine mpaka wafundishweHa ha ha aendelee kumpenda....lakini ajue kuwa yeye hajapendwa.Akiweza kuusulubisha moyo wake aendelee kumtafuta
hamna sio wote wanajua kupenda wengine mpaka wafundishweHa ha ha aendelee kumpenda....lakini ajue kuwa yeye hajapendwa.Akiweza kuusulubisha moyo wake aendelee kumtafuta
Ngoja nikwambie rafiki, unajua kuna mabinti wengine huwa wanakera sana....
Yaani sijui ni kwamba huwa wanapenda kuchat chat au ndio mazoea yao...
Wanatuma meseji utadhani mtangazaji wa mpira anavyotangaza, hakuna kuchoka...
We ushaambiwa mtu yupo busy, kuwa mvumilivu na kama huwezi kuwa na mtu wa namna hiyo chapa lapa...
Pole. Sasa kama ungekuwa we ni mvuvi labda, samaki ukishamvua ndoano ya nini tena? Anayetongoza mara nyingi akishafanikiwa kiherehere huwa kinapungua au kwisha. Aliyetongozwa kiherehere kinaanza baadae. Ndo yaliyokukuta. Au wakati anakutaka ulikuwa unamtumia message kama unavyomtumia sasa? Halafu unalalamika kuwa kuwa ukimwambia " l love you" anakwambia "me too". Sasa ulitaka akwambieje kwa mfano? Ulitaka akujibu "I'm not sure" au " i don't love you"?! Tcha! Mi kama nampenda au hata kama simpendi akiniuliza "unanipenda?" nitamjibu " kwani vipi?".
We bibie unapenda mapenzi ya kitoto - kila saa unataka uhakikishiwe usalama (si vibaya sana). Huyo kaka kuna mawili: labda si mtu wa i love you, i love you, mpenzi umekula, mpenzi umevaa chupi gani.....lakini haimaanishi kuwa hakupendi. Anaweza kuwa anakupenda ila style yake ya kuonyesha upendo haiendani na ya kwako, au hakupendi, mapenzi yenu yalikuwa ya moto wa kifuu - yaani ya kuongozwa na genye. Sasa za mwenzio zimeisha, we zako zimepanda mpaka kwenye moyo wakati za mwenzio mlishaziflash. Kwa hiyo jaribu kujua kati ya hayo mawili ni kipi kinahusika. Punguza hizo i love you zako na maswali maswali (hizi zinakera sana hasa mida ya kazi). Tuma au piga simu asubuhi na jioni, na zisiwe za malalamiko. Ukiona hazijibiwi kaa kimya, ukiona kimya hesabu hasara, jipange upya. Hakuna lililoharibika. Safari ya maisha ina mambo mengi.
tukiweka vizibo mtakula wapi na sisi tutakula wapi? kwa mbuzi au?
Looh relationship mawasiliano.silence utaikuta library....wiki unashindwa hata kunijulia hali??
Tatizo lako ukiandika meseji ya mapenzi inakuwa kama ume-forward ile ya jana yake!. Na wakati mwingine nikimtumia meseji ya love hajibu ila nikituma meseji ya kitu kingine kisichohusu Love anajibu haraka.
Sikujua ka unapenda niwe nakukumbuka, ebu basi nifanye nilijue hilo ili niwe nakukumbuka pasi na hiyana!
usikate tamaa endelea kumuanza wewe huku ukiliangalia lengo lenu la kuoana kwa kuendelea kumuomba Mungu awafanyieni wepesi. chukulia umepanda mmea wako usipoumwagilia maji na kuuwekea mbole hautastawi na mapenzi nadhani ndivyo ilivyo.
Sio wanaume wote wako romantc au kila mara wanapenda kuongelea mapenz kuna wanaume wengne ukiona anamfungulia mwanamke mlango wa gari ujue huo mlango mbovu lkn unakuta anampenda hasa ......na mimi ndivyo nilivyo hata ukikaa wiki mimi cjali as long najua ww ni mpenzi wang na maisha yanaendelea
Ina depend.....safari ya mapenz ina mambo mengi.Wapo waliotakana siku ya kwanza kuonana na ndo siku wamedinyana na wakaendelea na mapenzi.
Kwahyo hayo mambo inategemea na nyinyi watu wawili mnachukuliaje mapenzi kwa ujumla wake.
Umeshindwa kumkosha kapata mtu mpya
Avemaria na Nokia83 mshaanza kutongozana sasa!!!