Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,390
Naona umeamua kutoa mfano kwa kuanza kunikumbuka.
Poa....habari yako?
Si bora hata mm naonyesha nia na dhumuni langu...hata nakukumbuka lkn sio ww
Naona umeamua kutoa mfano kwa kuanza kunikumbuka.
Poa....habari yako?
Midudu yote iliyojaa bado analialia
Labda hilo linashabiiana na kipenyo chake
Wewe hujawahi kubembelezea?
Mmmmhhh naumia kibingwa.....sina shobo sana na mtu.Akiikumbuka kipenyo cha pili nami nampotezea
Unaongea tu hapa...
Hamna kuumia kibingwa kama umependa kweli.
Kama huwezi pole sanaaaa......basi endelea kupenda usipopendwa halafu uone utakavyochakaa kama mpira wa makaratasi
Ukipenda ww inakuwa huoni kama hujapendwa
Ukitumia moyo na kutoipa nafasi akili ifanye yake ndo tatizo.Mabadiliko ya mtu wa karibu unayajua tu sema tunajipa moyo.
Tatizo ni kuwa utabadilisha wangapi...ndio maana sometimes we hold on kwny mahusiano ambayo ni magumu
Kubadilisha hata mia.....tatizo wanawaonjesha kabla hajamjua kwa asilimia kubwa huyo mtu yupoje.Masharobaro wasumbufu sana
Si bora hata mm naonyesha nia na dhumuni langu...hata nakukumbuka lkn sio ww
Kwa hiyo ww unaona tatizo ni kumpa mtu mzigo?
Sikujua ka unapenda niwe nakukumbuka, ebu basi nifanye nilijue hilo ili niwe nakukumbuka pasi na hiyana!