Nani anapaswa aanze au wote?

Nani anapaswa aanze au wote?

illuh

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
1,254
Reaction score
701
Habari wana MMU?

Naomba kuelimishwa. Mimi nimekuwa na mpenzi wangu ila simuelewi, Kila kukicha salamu nianze mie, nikiwa kimya hata hadi jioni naye atakuwa kimya. Nikimtumia sms za love labda I love you, anajibu ME TOO.

Nikimimuuliza kama ananipenda wakati tunaongea anasema ananipenda. Sielewi, Me nahisi sote twatakiwa kukumbukana si lazima me tu kila kukicha nianze kutamka neno au kusalimu. Na wakati mwingine nikimtumia meseji ya love hajibu ila nikituma meseji ya kitu kingine kisichohusu Love anajibu haraka.

Nikimuumiza meseji yangu ya mwanzo hukuiona ataweza sema nilikuwa busy sana. Yaani napata wakati mgumu kumuwaza.

Nampenda ila ye simuelewi upendo wake.
 
Hebu kaa nae chini uongee nae kwanza kuhusiana na salamu, na je hapo mwanzo ilikuwa hivyo? au kitabia hiki kimezuka siku za hivi usoni?
 
Kitabia hiki kipo muda tuu, wkt ananifuatilia ndipo tulikuwa twawasiliana sana, na tulipokuwa ktk mahusiano km mwezi hivi baada ya hapo ndio hivi...

Hebu kaa nae chini uongee nae kwanza kuhusiana na salamu, na je hapo mwanzo ilikuwa hivyo? au kitabia hiki kimezuka siku za hivi usoni?
 
Lazima kuna tatizo hapo muda si mrefu ujue kila mtu atachukua njia yake.
 
polee , nakumbuka mpnzi wangu wa mwanzo ilianza kama hivi, nkawa simuelewi, nkimwambia anakua mkali, nkijaribu tukutane tuongee hataki, mwisho tukaachana, coz nlichoka na mimi

so, na mim sioni kama ana muelekeo mzuri, jipange kisaikologia kutengana
 
kama hakutaki ni vema akuweke wazi/
ujue utambue kwani mademu wapo shazi

naimba tu
 
jariibu kutafuta jibu mapema asikupotezee muda pengine anaogopa kukwambia akutaki tena.ubize gani ushindwe kujibu msg bwana
 
Habari wana MMU?

Naomba kuelimishwa. Mimi nimekuwa na mpenzi wangu ila simuelewi, Kila kukicha salamu nianze mie, nikiwa kimya hata hadi jioni naye atakuwa kimya. Nikimtumia sms za love labda I love you, anajibu ME TOO. Nikimimuuliza km ananipenda wkt twaongea asema anipenda. Sielewi. Me nahisi soote twatakiwa kukumbukana si lazima me tu kila kukicha nianze kutamka neno au kusalimu. Na wkt mwingine nikimtumia msg ya lov hajibu ila nikijanikituma msg ya kitu kingine kisichohusu Love hujibu haraka, nikimuumiza msg yangu ya mwanzo hukuiona ataweza sema nilikuwa buzy sana. Yaani napata wkt mgumu kumuwaza..Nampenda ila ye simuelewi upendo wake.

illuh Kuna me wengine ndo wako hivyo anakuwa anakupenda lkn hataki kukuonesha km anakupenda yaani ni hulka yake tu.
Wa hivyo wanakuwa na dhana kuwa ke ndo wakumuonesha yeye mapenzi ila si yeye akuoneshe.
Nishawahi kuwa na wa hivyo yaani shida tupu kila kitu mpk umuanze mpk mgegedo nianze mie ila alikuwa na wivu hatari ila nikaja kugundua kwao wote ndo wako hivo.
So mantahofu mamito inawezekana na huyo ndo design hizohizo.
 
Last edited by a moderator:
Hana muda na wewe!
 
Attachments

  • 1409848187917.jpg
    1409848187917.jpg
    55.4 KB · Views: 662
sometime sms za I love you na I miss you kila time zinakera, kama utampuuzia kwa muda wa siku tatu hua kinatokea nini?
 
Habari wana MMU?

Naomba kuelimishwa. Mimi nimekuwa na mpenzi wangu ila simuelewi, Kila kukicha salamu nianze mie, nikiwa kimya hata hadi jioni naye atakuwa kimya. Nikimtumia sms za love labda I love you, anajibu ME TOO. Nikimimuuliza km ananipenda wkt twaongea asema anipenda. Sielewi. Me nahisi soote twatakiwa kukumbukana si lazima me tu kila kukicha nianze kutamka neno au kusalimu. Na wkt mwingine nikimtumia msg ya lov hajibu ila nikijanikituma msg ya kitu kingine kisichohusu Love hujibu haraka, nikimuumiza msg yangu ya mwanzo hukuiona ataweza sema nilikuwa buzy sana. Yaani napata wkt mgumu kumuwaza..Nampenda ila ye simuelewi upendo wake.

Kiruuu....mara moja tu hutakaa unisikie nakuanzishia salam wala nini,nakuwekea roho ngumu,huku nafanya replacement.
 
Nawashukuruni nyoote kwa mawazo yenu. Mungu awabariki.
 
Habari wana MMU?

Naomba kuelimishwa. Mimi nimekuwa na mpenzi wangu ila simuelewi, Kila kukicha salamu nianze mie, nikiwa kimya hata hadi jioni naye atakuwa kimya. Nikimtumia sms za love labda I love you, anajibu ME TOO. Nikimimuuliza km ananipenda wkt twaongea asema anipenda. Sielewi. Me nahisi soote twatakiwa kukumbukana si lazima me tu kila kukicha nianze kutamka neno au kusalimu. Na wkt mwingine nikimtumia msg ya lov hajibu ila nikijanikituma msg ya kitu kingine kisichohusu Love hujibu haraka, nikimuumiza msg yangu ya mwanzo hukuiona ataweza sema nilikuwa buzy sana. Yaani napata wkt mgumu kumuwaza..Nampenda ila ye simuelewi upendo wake.

lazima uzoee hali hiyo,sio kila mtu kajaliwa fani ya malavidavi,wengine kuonyesha malavidavi ni kitu cha ziada katika mapenzi,wakati kwa wengine wanayapa umuhimu sana.so pengine huyo shem wetu malovie ni kitu cha ziada katika mapenzi
 
Shost huna chako hapo..wanaanzaga hivi hivi...ukija chunguza ana mtu mwingine...
 
Kwakweli huyo mi naona hakupendi, kama kweli anakupenda lazima atakukumbuka hata kama yuko busy, anajilazimisha ndio maana hawezi kukujibu I love you too
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom