Mkaushe kama wiki....ukiona hakutafuti ujue huyo si wako
wewe kweli strong kama amempenda je!
Uwiii wiki??jaman hapo mi ntashindwa mweee
Utashindwa kufanya nini???
Lazima kuna tatizo hapo muda si mrefu ujue kila mtu atachukua njia yake.
Kumchunia wiki siwez duuh...kuumia wik nzima siwez mim mda huo huo anaulizwa
Ukiona manyoya.....
Binadamu tumetofautiana.....anayekupenda hawezi akawa bize 24/7 mpk umpigie o kumText kila mara na wakati mwingine asijibu sms nakujifanya yupo bize.
Me namchunia nikiona kimya....unabembeleza nini???
Huo ubize gani ndo kila siku aanzwe yeye tu, ina maana ye hakuna hata siku ya kusema kakukumbuka??
Mmmmmmh......pole!
Shost huna chako hapo..wanaanzaga hivi hivi...ukija chunguza ana mtu mwingine...
polee , nakumbuka mpnzi wangu wa mwanzo ilianza kama hivi, nkawa simuelewi, nkimwambia anakua mkali, nkijaribu tukutane tuongee hataki, mwisho tukaachana, coz nlichoka na mimi
so, na mim sioni kama ana muelekeo mzuri, jipange kisaikologia kutengana
Mambo?
Anabembeleza dudu