Nani anapaswa aanze au wote?

Nani anapaswa aanze au wote?

Binadamu tumetofautiana.....anayekupenda hawezi akawa bize 24/7 mpk umpigie o kumText kila mara na wakati mwingine asijibu sms nakujifanya yupo bize.
Me namchunia nikiona kimya....unabembeleza nini???
kweli kabisa
 
mwanamke anavutia wakati bado huja mtawanya mapaja...ukisha mtawanya unakuta mashine mbovu na tena ni zaidi ya used yaani chakavu...unaanza kukumbuka gharama zako kipindi unamfukuzia...na usumbufu wake...unaamua kumpotezea..kimya kimya....
 
Ukimdekeza msichana wako kujibu msg zake zote hata kazi sasa hazitafanyika ofisini!Viumbe hawa wanapenda mno kuandika bana lol

Juzi kanitumia msg zaidi ya 40 zote zinaongelea jinsi atakavyo vaa dinner ya weekend hii!

Akaongeza msg zingine kibao kusifia paka wa rafiki yake aliyekwenda kumuona juzi!

Ukinyamaza kujibu sometimes na wao wanajishtukia wananyamaza
 
Kitabia hiki kipo muda tuu, wkt ananifuatilia ndipo tulikuwa twawasiliana sana, na tulipokuwa ktk mahusiano km mwezi hivi baada ya hapo ndio hivi...

Alichotaka keshakipata,kwa nini ajisumbue tena. Tatizo mnajirahisha mno ,ukiongeza na hizo nyodo ndio balaa
 
Alichotaka keshakipata,kwa nini ajisumbue tena. Tatizo mnajirahisha mno ,ukiongeza na hizo nyodo ndio balaa

thumb...up mkuu

tatizo hawa wenzetu wamezidi kutuzungusha sana..mpaka malove uliyokuwa nayo moyoni yanayeyuka.....unakuta kipochi chenyewe kumechakaaaa...kama ngozi ya kidevuni...
 
Habari wana MMU?

Naomba kuelimishwa. Mimi nimekuwa na mpenzi wangu ila simuelewi, Kila kukicha salamu nianze mie, nikiwa kimya hata hadi jioni naye atakuwa kimya. Nikimtumia sms za love labda I love you, anajibu ME TOO.

Nikimimuuliza kama ananipenda wakati tunaongea anasema ananipenda. Sielewi, Me nahisi sote twatakiwa kukumbukana si lazima me tu kila kukicha nianze kutamka neno au kusalimu. Na wakati mwingine nikimtumia meseji ya love hajibu ila nikituma meseji ya kitu kingine kisichohusu Love anajibu haraka.

Nikimuumiza meseji yangu ya mwanzo hukuiona ataweza sema nilikuwa buzy sana. Yaani napata wakati mgumu kumuwaza.

Nampenda ila ye simuelewi upendo wake.

Kama hakusalimii piga kimya na wewe usimtumie msg zozote jikaze kaa kimya utajua tu ikipita siku tatu tu kwa wapenz wanaopendana halaf hajakutext mulika mwizi hapo la sivo atakutext back nawe usirespond quick msg imetumwa saa nne ijibu saa kum n mbili akikuuliza sema ulikua bize sometimes mapenz yanabadilikaga ila kama ulipangiwa kua nae utakua nae tu
 
Habari wana MMU?

Naomba kuelimishwa. Mimi nimekuwa na mpenzi wangu ila simuelewi, Kila kukicha salamu nianze mie, nikiwa kimya hata hadi jioni naye atakuwa kimya. Nikimtumia sms za love labda I love you, anajibu ME TOO.

Nikimimuuliza kama ananipenda wakati tunaongea anasema ananipenda. Sielewi, Me nahisi sote twatakiwa kukumbukana si lazima me tu kila kukicha nianze kutamka neno au kusalimu. Na wakati mwingine nikimtumia meseji ya love hajibu ila nikituma meseji ya kitu kingine kisichohusu Love anajibu haraka.

Nikimuumiza meseji yangu ya mwanzo hukuiona ataweza sema nilikuwa buzy sana. Yaani napata wakati mgumu kumuwaza.

Nampenda ila ye simuelewi upendo wake.

mhm...inaelekea wewe ulisha gegedwa.
 
na wanaume kufanya kila kitu kwa mazoea sio vizuri eti kwa sababu ushanizoea ndo usinijulie hali haiwezekani ni dalili ya kuchuja kwa penzi

Sio kweli, kuna watu hawana hulka ya kupiga piga simu au kufanya texting...
 
Kitabia hiki kipo muda tuu, wkt ananifuatilia ndipo tulikuwa twawasiliana sana, na tulipokuwa ktk mahusiano km mwezi hivi baada ya hapo ndio hivi...
ha ha ha ha ha kumbe jibu lipo kashakupata sasa ahangaike ya nn la msing tu na wewe kua busy na ratiba zako tuma msg za msing asubh mchana jion kama dawa tu af uone kama hatarud kwenye system la msing tu uwe na roho ya utayar
 
cwez kuwa na mpenz,alafu niwe namwambia ktk msg eti i lve her,au kumcall nimwulize ananipenda? weee! l
hamna hyo kitu,kama ananipa papuchi muda wowote nnaotaka,ananiskiliza na kuniheshimu,kifupi ananijali,namm ndo namjali haswa,yanini nimwulize ilhali najua ananizimia!
 
Mwenyewe sms za I love You mala I Miss you Mala Baby mala Honey kwa kweli mwenyewe tunagombana sana na mpenzi wangu.Mtu anakutumia I love You anataka useme Ilove you wakati mwingine nakua busy kazini kwa maneno mengine sio mda wa mapenzi yeye analeta mapenzi kwa kweli inanipa shida
 
Mtu mwenye hulka hyo huonekana toka day 1.....huyu binti anasema hajibu sms za mapenz lakin nyingine anajibu.Akiulizwa anasema yupo bize

Ngoja nikwambie rafiki, unajua kuna mabinti wengine huwa wanakera sana....

Yaani sijui ni kwamba huwa wanapenda kuchat chat au ndio mazoea yao...

Wanatuma meseji utadhani mtangazaji wa mpira anavyotangaza, hakuna kuchoka...

We ushaambiwa mtu yupo busy, kuwa mvumilivu na kama huwezi kuwa na mtu wa namna hiyo chapa lapa...
 
Alikuwa akifanya mazoezi kwako. Si mmesema practice makes perfect? Wewe umekuwa sehemu ya kufanyia mazoezi.

Na bado, msipoweka vizibo tutawala hadi mkome...!

tukiweka vizibo mtakula wapi na sisi tutakula wapi? kwa mbuzi au?
 
Habari wana MMU?

Naomba kuelimishwa. Mimi nimekuwa na mpenzi wangu ila simuelewi, Kila kukicha salamu nianze mie, nikiwa kimya hata hadi jioni naye atakuwa kimya. Nikimtumia sms za love labda I love you, anajibu ME TOO.

Nikimimuuliza kama ananipenda wakati tunaongea anasema ananipenda. Sielewi, Me nahisi sote twatakiwa kukumbukana si lazima me tu kila kukicha nianze kutamka neno au kusalimu. Na wakati mwingine nikimtumia meseji ya love hajibu ila nikituma meseji ya kitu kingine kisichohusu Love anajibu haraka.

Nikimuumiza meseji yangu ya mwanzo hukuiona ataweza sema nilikuwa busy sana. Yaani napata wakati mgumu kumuwaza.

Nampenda ila ye simuelewi upendo wake.

You are not in his heart he is just helping you. Yani sio lazima sana kuwa na wewe. Nakwambia ukweli find out.
 
Kitabia hiki kipo muda tuu, wkt ananifuatilia ndipo tulikuwa twawasiliana sana, na tulipokuwa ktk mahusiano km mwezi hivi baada ya hapo ndio hivi...

Pole. Sasa kama ungekuwa we ni mvuvi labda, samaki ukishamvua ndoano ya nini tena? Anayetongoza mara nyingi akishafanikiwa kiherehere huwa kinapungua au kwisha. Aliyetongozwa kiherehere kinaanza baadae. Ndo yaliyokukuta. Au wakati anakutaka ulikuwa unamtumia message kama unavyomtumia sasa? Halafu unalalamika kuwa kuwa ukimwambia " l love you" anakwambia "me too". Sasa ulitaka akwambieje kwa mfano? Ulitaka akujibu "I'm not sure" au " i don't love you"?! Tcha! Mi kama nampenda au hata kama simpendi akiniuliza "unanipenda?" nitamjibu " kwani vipi?".

We bibie unapenda mapenzi ya kitoto - kila saa unataka uhakikishiwe usalama (si vibaya sana). Huyo kaka kuna mawili: labda si mtu wa i love you, i love you, mpenzi umekula, mpenzi umevaa chupi gani.....lakini haimaanishi kuwa hakupendi. Anaweza kuwa anakupenda ila style yake ya kuonyesha upendo haiendani na ya kwako, au hakupendi, mapenzi yenu yalikuwa ya moto wa kifuu - yaani ya kuongozwa na genye. Sasa za mwenzio zimeisha, we zako zimepanda mpaka kwenye moyo wakati za mwenzio mlishaziflash. Kwa hiyo jaribu kujua kati ya hayo mawili ni kipi kinahusika. Punguza hizo i love you zako na maswali maswali (hizi zinakera sana hasa mida ya kazi). Tuma au piga simu asubuhi na jioni, na zisiwe za malalamiko. Ukiona hazijibiwi kaa kimya, ukiona kimya hesabu hasara, jipange upya. Hakuna lililoharibika. Safari ya maisha ina mambo mengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom