Nani anapaswa aanze au wote?

Nani anapaswa aanze au wote?

Kusalimina siyo issue nani anaanza kumsalimia mwenzie, lakini hilo la kumwambia "I love you" halafu anapotezea...STUKA! potea ka wiki hivi hakuna kupiga wala kutuma text message, kama kweli anakupenda siku ya tatu lazima akutafute, ukiona wiki imekatika ujue njemba ilikuwa inafurahia papuchi tu lakini penzi hakuna.

naona unaenda na wakati kitu kipya hiki
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Habari wana MMU?

Naomba kuelimishwa. Mimi nimekuwa na mpenzi wangu ila simuelewi, Kila kukicha salamu nianze mie, nikiwa kimya hata hadi jioni naye atakuwa kimya. Nikimtumia sms za love labda I love you, anajibu ME TOO.

Nikimimuuliza kama ananipenda wakati tunaongea anasema ananipenda. Sielewi, Me nahisi sote twatakiwa kukumbukana si lazima me tu kila kukicha nianze kutamka neno au kusalimu. Na wakati mwingine nikimtumia meseji ya love hajibu ila nikituma meseji ya kitu kingine kisichohusu Love anajibu haraka.

Nikimuumiza meseji yangu ya mwanzo hukuiona ataweza sema nilikuwa busy sana. Yaani napata wakati mgumu kumuwaza.

Nampenda ila ye simuelewi upendo wake.
hii inasababishwa na mabadiliko ya tabia ya hali ya hewa. uvumilivu muhimu mno.
 
Ebu, tudokezee, huyo mkwe wetu asili yake wapi na wewe asili yako wapi?? Unaweza kukuta ni masuala ya utamaduni au mila na desturi ndiyo kiini cha hilo tatizo!!!!
 
Mbona jibu rahisi sana, kwani wakati wa shuguli nani anaanza???? ukipata jibu you are done !!
 
Habari wana MMU?

Naomba kuelimishwa. Mimi nimekuwa na mpenzi wangu ila simuelewi, Kila kukicha salamu nianze mie, nikiwa kimya hata hadi jioni naye atakuwa kimya. Nikimtumia sms za love labda I love you, anajibu ME TOO.

Nikimimuuliza kama ananipenda wakati tunaongea anasema ananipenda. Sielewi, Me nahisi sote twatakiwa kukumbukana si lazima me tu kila kukicha nianze kutamka neno au kusalimu. Na wakati mwingine nikimtumia meseji ya love hajibu ila nikituma meseji ya kitu kingine kisichohusu Love anajibu haraka.

Nikimuumiza meseji yangu ya mwanzo hukuiona ataweza sema nilikuwa busy sana. Yaani napata wakati mgumu kumuwaza.

Nampenda ila ye simuelewi upendo wake.

Hebu kaa chin ufikirie ni tabia yake toka mnaanza mahusiano, au ameanza karbun, km ni karbun jua hayupo njia kuu huyo na ana majukumu gani kifamilia mpaka akusahau mke mtarajiwa?
Kingine mazingira ya kaz yake!
Mwisho kaa nae msemezane!!!!
 
Nlishawahi kukutana na Mkaka Wa hivyo,alikuwa ananipenda tatizo akawa anataka tuachane for reason,ilikuwa hanipigii,hantext had I nimuanze,nkimwambia I love you hajibu,mwishowe nikachoka lakini nikajikaza nikawa sipigi, tunakaa SKU 2 kimya smtimz ananipigia oooh umekuwa bize nasema nipo majukumu tu,mwishow tukaachana kimya kimya!had Leo ananiheshimu sikumlilia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom