Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,074
- 43,531
kuna ma isp wa isp ambao niSorry kama ntakua nimeuliza swali la kishamba..
Mkuu hivi hawa service providers let's say Tigo...voda..airtel..smile etc huwa wanazitoa wapi hiyo internet yao...na huko watowako i.e major internet service provider huwa anatoa wapi hizo bites (internet) wat z exactly source of internet...??
-erricson
-huawei
-nokia
-zte
-alcatel.
voda na airtel wao wananunua kwa nokia
smile ananunua kwa alcatel
smart aka bol ananunua kwa zte.
hao kina nokia na ericson na ma isp wa isp wengine wao wanagundua miundombinu ambayo wanawauzia mitandao ya simu ili watupe sisi internet.
internet haimilikiwi ila ni huru ila vyombo vinavyofanikisha mawasiliano ya internet ndo vinamilikiwa na watu.Kuna kampuni au nchi ambayo inamiliki internet..?? Ambayo nchi au makumpuni mengine yananunua toka kwake...??